Zitto: Yanayoendelea biashara ya sukari ni zaidi ya escrow
Baada ya Watanzania kuliona Bunge likiwachukulia hatua vigogo waliohusika na ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow wa Sh306 bilioni, madudu mengine ya Serikali yanatarajiwa kubainika mara bada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuanza kufuatilia sakata ya sukari nchini. Hatua hiyo ya PAC kuanza kulifanyia kazi inatokana na malalamiko ya wamiliki wa viwanda vya sukari yanayotolewa kutokana na soko la ndani kutekwa na sukari inayoingizwa kutoka nje ya nchi na wafanyabiashara...
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Zitto: Escrow ni zaidi ya Muhongo
Fredy Azzah na Nora Damian, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kutangaza kujiuzulu kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema suala hilo bado ni bichi.
Pamoja na hali hiyo, PAC imesema hadi sasa Serikali imetekeleza maazimio manane ya Bunge kwa asilimia 35.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za...
10 years ago
Dewji Blog07 May
Pinda atembelea maonyesho ya biashara ya Syria yanayoendelea katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea maua wakati alipoingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kutembelea maonyesho ya biashara ya Cyria Mei 6, 2015. Kushoto ni balozi wa Syria nchini, Abdulmounem Annanna kulia ni Mratibu wa maonyesho hayo, Fetian Abdulal. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Balozi wa Syria nchini, Abdulmounem Annan wakikata keki wakati Waziri Mkuu alipotembelea maonyesho ya Biashara ya Syria kwenye ukumbi wa Diamond...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-J0Jox4OFFSk/VL5l9jg-o9I/AAAAAAAG-fg/hJ50pEzpMs8/s72-c/DSC_0211.jpg)
NJIA ZA "PANYA" ZA SUKARI ZINAUA VIWANDA VYA NDANI - ZITTO KABWE
![](http://3.bp.blogspot.com/-J0Jox4OFFSk/VL5l9jg-o9I/AAAAAAAG-fg/hJ50pEzpMs8/s1600/DSC_0211.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4QY98YZDOUE/VL5l_0aR6YI/AAAAAAAG-fo/q1MPNOR8BWs/s1600/DSC_0239.jpg)
10 years ago
MichuziKIWANDA CHA SUKARI KAGERA CHAZALISHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uLJKC9Kh5w0/UxHRLrp8meI/AAAAAAAFQak/HMg_Zc49ioI/s72-c/8.jpg)
HAYA NDIO YANAYOENDELEA UWANJA WA TAIFA HIVI SASA,MECHI BADO HAIJAANZA LAKINI VITI ZAIDI YA 20 VYANG'OLEWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-uLJKC9Kh5w0/UxHRLrp8meI/AAAAAAAFQak/HMg_Zc49ioI/s1600/8.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Kamati ya fedha, biashara na kilimo ya baraza la wawakilishi Zanzibar yatembelea kiwanda cha Sukari Mahonda
Muonekano wa Kiwanda cha Sukari Mahonda kilivyo hivi sasa.
Mshauri muelekezi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Dk. Hamza Hussein Sabri (alie simama) akitoa maelezo na changamoto wanazozipata Kiwandani hapo, kwa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi walipoenda kutembelea Kiwanda hapo.
Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la wawakilishi Hija Hassan Hija akizunguza na uongozi wa Kiwanda cha Sukari na viongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RHbWNfnVjH0/Xr4lAu1dJnI/AAAAAAALqTA/AwnUqTBoAGA6bXciIopdk1tFIs-9iWv5gCLcBGAsYHQ/s72-c/675b6db5-2b5f-471e-9bf1-711f454db6fe.jpg)
WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU UHABA WA SUKARI NCHINI,AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUZINGATIA BEI ELEKEZI
Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kuwahasa wauzaji kuzingazia bei elekezi.
Mhe.Bashungwa ameyasema hayo jana Mei 14, 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari tani 20,000 ikishushwa na meli kutoka Nchini Uganda iliyoagizwa na kiwanda cha kagera sugar kwa ni...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Zitto amlipua Rugemalira wa Escrow
Na Bakari Kimwanga, Iringa
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kushangazwa na hatua ya Serikali kuwapatia kazi ya ujenzi wa Bandari ya Mwambani mkoani Tanga watuhumiwa wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.
Amesema watuhumiwa hao wamepewa kazi hiyo kupitia Mradi wa Mwambani Economic Corridor (MWAPORC), ambao utagharimu Sh trilioni 54, huku kukiwa hakuna taratibu za utangazaji wa zabuni zilizofuatwa na Serikali.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia mikutano...
10 years ago
Habarileo18 Nov
Zitto akabidhiwa ripoti ya Escrow
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow, imeanza kufanyiwa kazi na Bunge na ndani ya siku nane zijazo, umma utajua ukweli wake. Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai alikabidhi ripoti hiyo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto, jana bungeni, na kamati imeanza kazi mara moja. Kwa mujibu wa Ndugai, taarifa hiyo ya CAG ina maoni kwa kila hadidu za rejea kama chombo hicho kilipoagiza wakati...