Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


15 wakamatwa kwa mauaji Mombasa

Polisi mjini Mombasa wamewakamata watu 15 kuhusiana na mauaji ya watu wanne usiku mjini humo kwa kuwadunga visu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wakamatwa kwa mauaji A.Kusini

Polisi wanne wamekamatwa kuhusiana na kisa cha kuwapiga risasi waandamanaji nchini Afrika Kusini siku ya Alhamisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu watatu wakamatwa kwa mauaji ya Karegeya

>Watu watatu wamekamatwa wakihusishwa na mauaji ta mkuu wa zamani wa ujasusi wa Rwanda, Patrick Karegeya aliyekutwa akiwa amekufa kwenye Hoteli ya Sandton mjini Johannesburg, Afrika Kusini wiki moja iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

100 wakamatwa mjini Mombasa, Kenya

Watu 100 wamekamatwa mjini Mombasa Pwani ya Kenya kufuatia shambulizi lililofanywa ndani ya kanisa moja mjini humo na kuwaua watu 4.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WATATU WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion iliyopo maeneo ya Ununio, Mbezi Beach wilaya ya kipolisi Kawe mkoa wa kipolisi wa Kinondoni aliyejulikana kwa jina la ANNA D/O MIZINGI, Miaka 48, Mfanyabiashara, Mkazi wa Boko. 

Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa za mchana mtoa taarifa alifika kituo cha Polisi na kueleza kwamba marehemu ANNA D/O MIZINGI aliondoka tangu tarehe 26/12/2014 majira ya saa 1:00hrs...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watuhumiwa mauaji ya mwandishi wakamatwa

Polisi nchini Azerbaijan imemtia mbaroni mwanamichezo na watu wengine watano kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji.

 

11 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa mauaji Mpeketoni wakamatwa

Polisi nchini Kenya wamesema kuwa wamewakamata washukiwa kadhaa wa mashambulizi yaliyofanyika mjini Mpeketoni na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 60.

 

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

VITA DHIDI YA MAUAJI YA ALIBINO, WAGANGA 32 WAKAMATWA

Mganga nchini TanzaniaVifaa vya Mganga Tanzania
Polisi nchini Tanzania wamewakamata waganga 32 wa kienyeji kazkazini magharibi mwa jimbo la Geita katika juhudi za kukabiliana na mauaji ya Albino.

Siku ya Alhamisi ,watu wanne walihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamke albino mwaka wa 2008 katika jimbo hilo.

Serikali iliwapiga marufuku waganga wa kienyeji mwezi Januari kama mojawapo ya kampeni ya kusitisha mauaji hayo.

Waganga wa kienyeji wanaamini viungo vya mwili wa Albino vina nguvu maalum za...

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani