Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


17 mahakamani kwa jaribio la kumpindua Nkurunziza

>Maofisa 17 wa Jeshi la Burundi wametiwa mbaroni wakiwamo majenerali watano na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kuipindua Serikali ya Rais Pierre Nkurunziza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waliojaribu kumpindua Nkurunziza wakamatwa

Rais Pierre Nkurunziza wa BurundiMAJENERALI watatu wa jeshi la Burundi wanaotuhumiwa kujaribu kupindua serikali ya Rais Pierre Nkurunziza wamekamatwa, zimesema taarifa kutoka nchini humo.

 

10 years ago

GPL

WANAJESHI WA JARIBIO LA JARIBIO LA MAPINDUZI-BURUNDI WALIVYOKAMATWA

Baadhi ya wanajeshi walioasi na kufanya jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi, walivyokamatwa nchini humo, wakati kiongozi wao akiendelea kusakwa na wanajeshi watiifu wa serikali ya Nkurunzinza. CREDIT: BBC SWAHILI

 

10 years ago

BBCSwahili

4 hatiani kwa jaribio la kumuua Nyamwasa

Wanaume 4 walioshitakiwa kwa jaribio la kumuua aliyekuwa jasusi wa Rwanda Generali Faustin Kayumba Nyamwasa wapatikana na hatia

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania kwenda jela SA kwa jaribio la kuua

Mahakama nchini Afrika Kusini imewahukumu kwenda jela miaka minane watu wanne wakiwamo Watanzania wawili kwa kosa la kutaka kumuua aliyekuwa mkuu wa majeshi wa Rwanda, Faustin Nyamwasa.

 

11 years ago

GPL

DK. CHENI KUMPINDUA RAY UENYEKITI

Na Brighton Masalu
UAMUZI wa kujitosa kuwania nafasi ya uenyekiti wa kundi la mastaa la Bongo Muvi kwa mwigizaji Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’, umempa wakati mgumu mwenyekiti anayemaliza muda wake wa kuliongoza kundi hilo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa hofu ya kuidondosha nafasi hiyo tamu. Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’. Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kigogo BoT kizimbani kwa jaribio kuua polisi

MSHAURI wa masuala ya ulinzi katika Benki Kuu (BoT), Shaban Ndosi (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua ofisa wa Polisi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?

Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.

 

9 years ago

StarTV

 Mratibu Maabara Korogwe kukamatwa  kwa Jaribio La Kuiba Vipimo Vya Malaria

 

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Hafsa Mtasiwa ameagiza kukamatwa kwa mratibu wa maabara wa halmashauri ya mji huo kwa madai ya kufanya jaribio la wizi wa vipimo vya kupimia ugonjwa wa Malaria MRDT.

Basondole anatuhumiwa kuchukua boksi la vifaa hivyo kutoka halmashauri ya wilaya ya Korogwe vijijini akidai Halmashauri ya Mji wa Korogwe anakofanya kazi kuna upungufu wa vifaa hivyo.

Ofisa wa dawa wa halmashauri ya wilaya ya Korogwe Issa Mkwawa amesema tukili lilo limetokea Novemba 11 na...

 

10 years ago

Michuzi

MARAIS WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALAANI JARIBIO LA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA - MEMBE

Na Chalila Kibuda,
Globu ya Jamii 
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamelaani kitendo cha baadhi ya askari kufanya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Burundi.Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amesema  kuwa hali ya Burundi ni tete na kwamba japo linaonekana ni jambo dogo lakini linaweza kugharimu maisha ya watu. 
"Hivyo tunatakiwa tuvute subira...Tusubiri na sio kulitangaza suala hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani