Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


35 wauawa CAR mapigano yakichacha

Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu imesema kuwa watu 35 wameuawa katika mji mkuu, Bangui katika kipindi cha siku tatu zilizopita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

11 wauawa kwenye mapigano Mali

Takriban watu 11 wameuawa Magharibi mwa Mali wakati wa mapigano kati ya wapiganaji wa kiislamu na jeshi

 

11 years ago

BBCSwahili

10 wauawa katika mapigano Somalia

Takriban watu 10 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika makabiliano kati ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji wanaounga mkono utawala wa muda wa eneo la Buulo Haawo

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapigano zaidi yatokea CAR

Mapigano mapya yametokea tena nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati kati ya Waislamu na Wakristo

 

9 years ago

GPL

WATU 20 WAUAWA KATIKA MAPIGANO BANGUI

Vijana wakiziba barabara kwa kuchoma matairi. Daktari mmoja wa jeshi ameiambia shirika la habari la AFP kuwa zaidi ya watu 100 walijeruhiwa katika makabiliano baina ya waislamu na wakristu katika eneo la PK-5. Wenyeji wa Bangui wakitoroka makwao kufuatia ghasia hizo. Makabiliano hayo yalitibuka baada ya mauaji ya mwendesha bodaboda ambaye alikuwa ni muislamu.
Eneo hilo la PK-5 ndilo lililokuwa chimbuko la mapaigano ya wenyewe...

 

11 years ago

BBCSwahili

'Wakimbizi' wauawa kanisani CAR

Takriban watu 30 wanaoamnika kuwa wakimbizi wameshambuliwa na kuuawa kanisani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto wauawa kikatili CAR

Umoja wa Mataifa umebaini taarifa za mauaji ya kikatili wanayofanyiwa watoto katika Jamuhuri ya Afrika ya kati

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 2 wa Ufaransa wauawa CAR

Wanajeshi wawili wa Ufaransa wameuawa katika mapigano na waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

 

10 years ago

Vijimambo

MAN LEAVES HIS CAR AT CAR WASH,CAME BACK TO THIS

What will you do??????...You dropped your SUV at a car wash for it be washed and left. And by the time you came back, the car had been practically destroyed (Picture above) and the car wash is not insured or have license. An inexperienced driver with no driver license lost control of the SUV and smashed it into a fence. 



 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani