Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


96% DARASA LA SABA KUJIUNGA SEKONDARI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini akitangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2014 ofisini kwake Dar es Salaam jana. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu. ASILIMIA 96.15 ya wanafunzi wa darasa la saba waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu na kufaulu, ndio waliochaguliwa kujiunga na sekondari za serikali....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE NA DARASA LA SABA SHULE YA SEKONDARI MWILAMVYA KASULU KIGOMA

Na Editha Karlo wa Blog ya jamiiWIZARA ya Elimu na mafunzo ya ufundi imepigilia msumari wa kuendelea kuwazuia wanafunzi wa shule za sekondari na shule za msingi za bweni na kutwa kumiliki simu za mkononi wakiwa shuleni na yeyote atakayekamatwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Jenista Muhaga wakati wa mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba wa shule ya sekondari ya Mwilayamvya medium iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

10 years ago

Mwananchi

Nusu wafaulu darasa la saba

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 yakionyesha kuwa zaidi ya nusu ya wanafunzi waliofanya mtihani huo Septemba mwaka huu, wamefaulu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dar yaongeza ufaulu darasa la saba

MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

21,540 kufanya mtihani darasa la saba

WANAFUNZI 21,540 watafanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mkoani Iringa mwaka huu ikiwa ni pungufu ya waliofanya mtihani huo mwaka jana. Mwaka jana wanafunzi 23,149 mkoani hapa walifanya mtihani...

 

10 years ago

Mwananchi

Wajigamba kuvuka lengo darasa la saba

Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Mkoa wa Mwanza imeweka mipango kabambe kuwezesha wanafunzi wa darasa la saba watakaohitimu mwaka huu kufanya vizuri zaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Pwani yaongeza ufaulu darasa la saba

Kibaha katibu tawala wa mkoa wa Pwani, Mgeni Baruani MKOA wa Pwani umeongeza ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba ambapo jumla wanafunzi 13,242 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule mbalimbali za sekondari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani