Abamiza mtoto ukutani na kumjeruhi vibaya
MKAZI wa Kijiji cha Manyamanyama nje kidogo ya mji wa Bunda mkoani Ruvuma, Kituma Paul (22) anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Bunda, kwa tuhuma ya kumpiga na kumbamiza kichwa ukutani hadi kumjeruhi mtoto mdogo mwenye miaka sita.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Mtoto aunguzwa vibaya kwa kula nyama
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ungindoni kata ya Mji Mwema Kigamboni, jijini Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), anadaiwa kuchomwa moto na mama yake mkubwa sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kutumia jalo.
Mtoto huyo alifanyiwa ukatili huo Desemba 25, mwaka jana akidaiwa kula vipande viwili vya nyama na hivyo kupewa adhabu na mama yake mkubwa, Rachel Bundala, kwa kuchomwa moto kwenye paja, goti na mikono yote miwili.
SHUHUDA...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Breaking News…#Ukatili tena: Mtoto mwingine mwenye Albinism akatwa mkono, mama mtu ajeruhiwa vibaya
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na maktaba).
Na modewji blog
Mtoto Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi (Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya Kiseta wilayani Sumbawanga vijijini, mkoani Rukwa.
Picha ya mtoto Baraka Cosmas Rusambo, akiwa wodini akipatiwa matibabu ya jeraha la...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya
UTEUZI wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Je,ushakojoa ukutani mikojo ikakurudia?
10 years ago
Habarileo09 Oct
Waandika ukutani kupinga Katiba
WATU wasiofahamika, usiku wa kuamkia jana wameandika maneno kwenye kuta ukiwemo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya Tazara wakidhihaki Katiba Inayopendezwa sanjari na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
Habarileo21 Dec
Sanduku la kura lapeperushwa na upepo na kupigizwa ukutani
UPEPO mkali uliochukua sanduku lenye kura, kulipigiza ukutani na kupasuka ni moja ya matukio ya kushangaza yaliyotokea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Wanafunzi kortini kwa kumjeruhi mwalimu
WANAFUNZI wawili wa Shule ya Sekondari Kibara, iliyoko wilayani Bunda, Mara, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda wakikabiliwa na tuhuma za kumshambulia mwalimu mkuu wa shule hiyo na kumjeruhi...
11 years ago
Habarileo19 Jun
Wakili kizimbani kwa kumjeruhi 'housegirl'
WAKILI wa kujitegemea, Yasinter Rwechungura (44) amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujeruhi mfanyakazi wake wa ndani.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Mfaransa kizimbani kwa kumjeruhi dada wa kazi
FOLKERSMAN Laurent (41), mkazi wa Tabata raia wa Ufaransa, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na makosa ya kumpiga na kumjeruhi mfanyakazi wake...