Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abiria Arusha-Moshi ‘waonja’ joto ya jiwe

Abiria wa mabasi yatokayo Arusha hadi Moshi, mkoani Kilimanjaro, jana asubuhi walikwama kuendelea na safari kutokana na mgomo wa madereva waliokuwa wakilalamikia kukamatwa bila utaratibu na maofisa wa kikosi cha Usalama Barabarani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Usafiri wawatesa abiria wa Moshi, Arusha

>Uhaba wa mabasi yanayokwenda  mikoa ya Kilimanjaro na Arusha umeendelea kuwatesa abiria wa mikoa hiyo hali iliyowalizimu  wagombee mabasi ya usafiri wa  jijini hapa maarufu  kama ‘daladala’ ambayo yameruhusiwa kufanya safari katika mikoa hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Uda zaruhusiwa kusafirisha abiria wa Moshi, Arusha

Hali tete ya usafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Arusha na Kilimanjaro imeilazimu Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi kavu (Sumatra) kuomba mabasi 15 ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) ili kukabiliana na tatizo hilo.

 

5 years ago

Michuzi

DALADALA DAR WAANZA KUBEBA ABIRIA KWA MTINDO WA 'LEVEL SEAT'... WAKAZI WAONJA RAHA NA KARAHA YAKE.


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MAGARI ya usafiri maarufu kwa jina la Daladala leo yameanza kubeba abiri kwa idadi ya viti 'Level Seat' ikiwa ni mkakati wa kupambana na  kuenea kwa virusi vya  Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.

Utaratibu huo umeanza leo Machi 31 mwaka huu wa 2020 na hivyo kwenye vituo mbalimbali vya daladala mamia ya abiria ya wakazi wa Jiji hilo wameonekana wakiwa kituoni kwani daladala nyingi zilikuwa zikifika vituoni yakiwa yameshajaa abiria kutokana na utaratibu...

 

11 years ago

GPL

MBEYA CITY YAONJA JOTO YA JIWE, YALALA 1-0 KWA YANGA

TIMU ya Mbeya City leo imepokea kipigo cha kwanza katika Ligi Kuu ya Bara baada ya kulala kwa bao 1-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Yanga limewekwa kimiani na Mrisho Ngassa katika dakika ya 16 ya mchezo. VIKOSI KATIKA MECHI HIYO VILIKUWA HIVI: YANGA Dida, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Cannavaro, Kelvin Yondani, Domayo, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Didier Kavumbagu,...

 

9 years ago

Michuzi

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO LA ABIRIA TERMINAL II ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali wakati alipowasili katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ujenzi  wa jengo hilo unajengwa na Kampuni kutoka China Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi ujenzi wa jengo...

 

10 years ago

Vijimambo

Jiwe la msingi la jengo la NSSF Moshi kuwekwa leo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo hili la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), lililo mtaa wa Aga Khan mjini Moshi leo, Novemba 23, 2014. Upande wa kushoto wa jengo hilo. Vyumba vyote vya jengo hilo vimeshapangishwa.Jengo linavyoonekana upande wa nyuma na kuufanya mji wa Moshi kuzidi kupendeza

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MABASI,,,,ABIRIA MJINI MOSHI WAKWAMA STENDI, WAIGEUZA UKUMBI WA SINEMA...

Hivi ndivyo kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi kilivyoonekana.Baadhi ya abiria wakiwa wamekaa kitako katika maegesho ya magari huku wakitizama Big Screen iliyopo jirani na kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.Baadhi ya abiria wakitizama kwa mbali screen hiyo.Screen kubwa kwa ajili ya matangazo ya biashara iliyoko jirani na kituo kikuu cha mabasi ikionesha picha ya mashindano ya magari ambayo ilikuwa burudani kwa abiria baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo wa madereva uliotikisa nchi...

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU : Jiwe walilolikataa CCM limekuwa jiwe kuu Chadema

Injili inatufundisha kuwa enzi ya Yesu Kristo, baadhi ya watu walimwona ni kama kichaa na mvuruga amani katika jamii.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIA-MERERANI, JIJINI ARUSHA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika leo Julai 30, 2015. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, na baadhi ya viongozi wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani