Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uda zaruhusiwa kusafirisha abiria wa Moshi, Arusha

Hali tete ya usafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Arusha na Kilimanjaro imeilazimu Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi kavu (Sumatra) kuomba mabasi 15 ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) ili kukabiliana na tatizo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Daladala sasa zaruhusiwa kusafirisha abiria mikoani

Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imeruhusu mabasi ya usafiri jijini Dar es Salaam, maarufu kama daladala, kufanya safari ndefu kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na mahitaji makubwa ya huduma hiyo katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Usafiri wawatesa abiria wa Moshi, Arusha

>Uhaba wa mabasi yanayokwenda  mikoa ya Kilimanjaro na Arusha umeendelea kuwatesa abiria wa mikoa hiyo hali iliyowalizimu  wagombee mabasi ya usafiri wa  jijini hapa maarufu  kama ‘daladala’ ambayo yameruhusiwa kufanya safari katika mikoa hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Abiria Arusha-Moshi ‘waonja’ joto ya jiwe

Abiria wa mabasi yatokayo Arusha hadi Moshi, mkoani Kilimanjaro, jana asubuhi walikwama kuendelea na safari kutokana na mgomo wa madereva waliokuwa wakilalamikia kukamatwa bila utaratibu na maofisa wa kikosi cha Usalama Barabarani.

 

11 years ago

Michuzi

madereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo

Wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejikuta wakiwa katika mazingira magumu baada ya mgomo wa mabasi madogo wa kutopakia abiria kutoka stendi kuu jijini humo,wakitaka wabadilishiwe ruti au kuongezewa nauli kwa sababu ya ruti hiyo inawapa mzungunguko mkubwa sana kulinganisha na nauli wanayoichaji kwa abiria hao.hali hiyo imepelekea abiria mbali mbali wa jiji hilo kupanga kwenye pikup na kulipa nauli ile ile wanayolipa kwenye daladala kama ionekanavyo katika picha mbali mbali zilizopigwa na Mpiga...

 

10 years ago

Vijimambo

USAFIRI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA MKOANI GEITA ENEO LA BUSERESERE NI HATARISHI

 Abiria wakiwa wamekusanywa kwenye buti eneo la kubebea mizigo huku wakiwa sambaba na watoto wadogo. Mizigo na Watoto wakiwa wamekusanywa pamoja na mizigo nyuma ya Gari hiyoWakazi wa Mkoa wa Geita maeneo ya buseresere na katoro wapo katika hatari kubwa ya maisha yao kutokana na usafiri wanaoutumia kutoka eneo moja kwenda jingine.Mwakilishi wa kikundi cha usalama barabarani Fungo Agustus ametutumia Tukio hili ambalo ni hatari kwa abiria mkoani Geita.Gari ndogo aina ya Pro Box zimeingia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MABASI,,,,ABIRIA MJINI MOSHI WAKWAMA STENDI, WAIGEUZA UKUMBI WA SINEMA...

Hivi ndivyo kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi kilivyoonekana.Baadhi ya abiria wakiwa wamekaa kitako katika maegesho ya magari huku wakitizama Big Screen iliyopo jirani na kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.Baadhi ya abiria wakitizama kwa mbali screen hiyo.Screen kubwa kwa ajili ya matangazo ya biashara iliyoko jirani na kituo kikuu cha mabasi ikionesha picha ya mashindano ya magari ambayo ilikuwa burudani kwa abiria baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo wa madereva uliotikisa nchi...

 

11 years ago

Mwananchi

Abiria 213 wa Ethiopian Airlines wanusurika kifo Arusha

Abiria 213 waliokuwa wakisafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia jana walinusurika kifo baada ya ndege hiyo kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha.

 

9 years ago

BBCSwahili

Familia Uchina zaruhusiwa watoto wawili

Familia nchini Uchina sasa zimeruhusiwa kupata watoto wawili baada ya kuanza kutekelezwa kwa sera mpya kuhusu upangaji uzazi.

 

5 years ago

CCM Blog

ARUSHA YAZINDUA ZOEZI LA KUPULIZIA DAWA MABASI YA ABIRIA ILI KUKAPILIANA NA CORONA

  Jiji la Arusha nchini Tanzania limeanza operesheni ya  kuyafanyia usafi  magari ya abiria kwa kuyapulizia dawa ya kuzuia virusi ugonjwa wa corona.
Shughuli ya kuyapulizia dawa imeanza jana  Ijumaa Machi 27,2020 na kuongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Fabian Daqarro.
Mhe.Gabriel Daqaro amesema kuwa operesheni hiyo ya upulizaji wa dawa utakuwa endelevu na utashirikisha wadau ambao tayari wameanza kutoa michago yao kuwezesha zoezi hilo.
Aidha Daqarro amewataka wananchi kutokuwa na taharuki na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani