Usafiri wawatesa abiria wa Moshi, Arusha
>Uhaba wa mabasi yanayokwenda mikoa ya Kilimanjaro na Arusha umeendelea kuwatesa abiria wa mikoa hiyo hali iliyowalizimu wagombee mabasi ya usafiri wa jijini hapa maarufu kama ‘daladala’ ambayo yameruhusiwa kufanya safari katika mikoa hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Abiria Arusha-Moshi ‘waonja’ joto ya jiwe
Abiria wa mabasi yatokayo Arusha hadi Moshi, mkoani Kilimanjaro, jana asubuhi walikwama kuendelea na safari kutokana na mgomo wa madereva waliokuwa wakilalamikia kukamatwa bila utaratibu na maofisa wa kikosi cha Usalama Barabarani.
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Uda zaruhusiwa kusafirisha abiria wa Moshi, Arusha
Hali tete ya usafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Arusha na Kilimanjaro imeilazimu Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi kavu (Sumatra) kuomba mabasi 15 ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) ili kukabiliana na tatizo hilo.
11 years ago
GPLABIRIA WANUSURIKA KIFO WAKISUBIRI USAFIRI
Gari aina ya Toyota Raum lenye namba za usajili T483 CMU likiwa eneo la kituo cha mabasi.…
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Usafiri wa meli waendelea kutesa abiria Mwanza, Kagera
 Usafiri wa meli kati ya Mwanza na Kagera, upo shakani kutokana na kutokamilika mapema matengenezo ya Meli ya MV Serengeti, inayochukua nafasi ya MV Victoria iliyosimamisha safari kutokana na ubovu.
9 years ago
MichuziMADEREVA WATAKAOZIDISHA ABIRIA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI KUKIONA
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na Jeshi la Polisdi Nnchi zima kupambana na watu watakaovunja sheria ya usafirishaji wa watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiJESHI la Polisi Nchini limewatahadharisha madereva watakaozidisha...
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiJESHI la Polisi Nchini limewatahadharisha madereva watakaozidisha...
10 years ago
VijimamboUSAFIRI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA MKOANI GEITA ENEO LA BUSERESERE NI HATARISHI
Abiria wakiwa wamekusanywa kwenye buti eneo la kubebea mizigo huku wakiwa sambaba na watoto wadogo. Mizigo na Watoto wakiwa wamekusanywa pamoja na mizigo nyuma ya Gari hiyoWakazi wa Mkoa wa Geita maeneo ya buseresere na katoro wapo katika hatari kubwa ya maisha yao kutokana na usafiri wanaoutumia kutoka eneo moja kwenda jingine.Mwakilishi wa kikundi cha usalama barabarani Fungo Agustus ametutumia Tukio hili ambalo ni hatari kwa abiria mkoani Geita.Gari ndogo aina ya Pro Box zimeingia kwa...
10 years ago
MichuziMGOMO WA MABASI,,,,ABIRIA MJINI MOSHI WAKWAMA STENDI, WAIGEUZA UKUMBI WA SINEMA...
Hivi ndivyo kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi kilivyoonekana.Baadhi ya abiria wakiwa wamekaa kitako katika maegesho ya magari huku wakitizama Big Screen iliyopo jirani na kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.Baadhi ya abiria wakitizama kwa mbali screen hiyo.Screen kubwa kwa ajili ya matangazo ya biashara iliyoko jirani na kituo kikuu cha mabasi ikionesha picha ya mashindano ya magari ambayo ilikuwa burudani kwa abiria baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo wa madereva uliotikisa nchi...
10 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Idd akagua ujenzi wa Jengo jipya la Abiria wa usafiri wa Anga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar upande wa Serikali ya...
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Abiria 213 wa Ethiopian Airlines wanusurika kifo Arusha
Abiria 213 waliokuwa wakisafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia jana walinusurika kifo baada ya ndege hiyo kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania