ACHAKAZWA SURA NA MKE MWENZIYE
![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaaq6PJZ3AcfAFWIX3eTAUFwjCsJkC1QIsL39aOr8c4rATDnl8XWVOu6r9PZxTQZ2XT0txBtXkf8-gdk8*5hKKg28/Sura.gif?width=650)
Na Stephano Mango, Ruvuma “Dunia imeharibika na binadamu hawana upendo wamegeuka kuwa na tabia kama za wanyama kila kukicha…†hiyo ni kauli yake Rehema Gwaya (41) mkazi wa Barabara ya Sokoine, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Rehema Gwaya akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa mafuta ya moto. Rehema ambaye ni mjasiriamali mdogo anayejishughulisha na kuuza juisi, alipatwa na mkasa wa kumwagiwa mafuta ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Sura ya mke yamtisha mumewe harusini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CgwvKmsfinqlSCaK8Dr5AbWGce4mBURChVJ-naeQtRdL96ty7G3qvqYOnxCR64Je4nh9y4IEC3UlBvocWY1jXfIwpFnE-qRU/20150728_093840Copy.jpg?width=650)
MZAZI MWENZIYE SUGU MAHAKAMANI TENA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfZWwI4exXgQXxFJv9ji1GRTpdMllVSY8YPOCpxkBB10onyJyZRE058Bw8AGVXcbtQiQOoArB8qTfK6SSqSl*df-/BACKUMAMOSI.jpg)
KHAA! MZAZI MWENZIYE SUGU AVAA PEMPASI UKUMBINI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8heGyLCrwJg/VE5xCBtuuPI/AAAAAAAGtr0/_BvanElyQf0/s72-c/Dr.Asha-Rose-Migiro-228x300.jpg)
Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro
![](http://1.bp.blogspot.com/-8heGyLCrwJg/VE5xCBtuuPI/AAAAAAAGtr0/_BvanElyQf0/s1600/Dr.Asha-Rose-Migiro-228x300.jpg)
WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA Nakayama, iliyopo wilayani Rufiji...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8L2vOyTOsfA/U7qp6gmscWI/AAAAAAAFviI/yXkUExJAabw/s72-c/unnamed+(69).jpg)
MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI
![](http://4.bp.blogspot.com/-8L2vOyTOsfA/U7qp6gmscWI/AAAAAAAFviI/yXkUExJAabw/s1600/unnamed+(69).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-3uxFLlkrdAI/U7qp6sgE1PI/AAAAAAAFviM/rj7nL1RMJaU/s1600/unnamed+(70).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s72-c/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s640/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
Na Bashir YAkub
Sura ya 29 Sheria ya ndoa imeeleza mambo mengi . Baadhi yanajulikana na baadhi hayajulikani. Wakati mwingine hata baadhi ya yanayojulikana haijulikani kama yameruhusiwa na sheria au yanafanyika kimazoea. Na hapa ndipo inapoibukia migogoro mingi ambayo tunayoshuhudia mahakamani na hata nje ya mahakama. Aidha sheria hii imebeba mambo mengi ya talaka, matunzo ya watoto na mwanamke, jinai za unyanyasaji wa kijinsia, ndoa haramu ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa4wc48-rReGE76qrFHy5qUTEiGom15oc5ZZ9pFFg47HZk3-xqkgUZdNa5gVhpsKiY5F*IYhuXJkmXF0hEKj7u51/12.jpg?width=650)
KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El9ADcWbV0*s9hceHmhBQ3*xYquB-vEut1oYBy50QwzngRzjhALEQ*0IkLK3eVEZaL7Wl8a7tq8BsspzFwxMnDF5/f.jpg?width=650)
KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU-2
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!