Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZAZI MWENZIYE SUGU MAHAKAMANI TENA

Faiza Ally akiwa mahakamani. Imelda Mtema FAIZA Ally, ambaye ni mzazi mwenzie na mbunge wa Mbeya mjini kwa ‘leseni’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Mr. Sugu’ anadaiwa kukata rufaa na kurudi mahakamani kudai upya haki yake juu ya malezi ya mtoto wake.  ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1fNStQE ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KHAA! MZAZI MWENZIYE SUGU AVAA PEMPASI UKUMBINI

Stori: Imelda Mtema
Kituko! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, aligeuka kituko baada ya kuingia ukumbini akiwa amevalia mavazi wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’. Faiza akiwa na pempasi ukumbini. Tukio hilo lilitokea juzikati katika Hotel ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar, ambako walialikwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wadaiwa sugu wa ardhiwafikishwa mahakamani


NA RACHEL KYALA
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imezifikisha mahakamani kampuni 11 ambazo ni wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi.
Miongoni  mwa kampuni hizo zinadaiwa ni S.H Amon, Highland Estate na Costix Limited  ambazo zinadaiwa sh. milioni 80.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba, Wilaya ya Ilala, Yose Mlyambina, alisema malalamiko dhidi ya kampuni na watu binafsi 120, yaliwasilishwa katika baraza hilo na Kamishna wa Ardhi, Dk. Moses...

 

10 years ago

Vijimambo

KIVAZI KILICHO TAMBA KWENYE KILIMANJARO MUSIC AWARD NI HIKI CHA MZAZI MWENZIE MH. SUGU


Baada ya Lile vazi alilovaa Siku ya All White Party ya Zari Kuleta Ngumzo Mitandaoni ..Leo Tena Mwanadada Faiza Ally Amekuja na Mpya Kwenye Tuzo za KTMA...Baadhi ya Watu Wamekerwa na Vazi Hilo na Kusema Yafuatayo:Angelayubu Loooh shoga ata kama umaarufu umezidi iyo sasa shombo
Jestina George Sina kawaida hii lakini leo wacha niseme Faiza jamani why?? Not on the red carpet my love Noti Raiti kabisa mamii ake!!! I appreciate ubunifu wako but this is a NO! NO! Juu na mbele sawa kidogo huko nyuma...

 

10 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: TOP IN DAR INAKUWAJE TENA MZAZI?

KHALEED Mohamed, ni msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye uwezo usiotia shaka, kama utahitaji kujua kuhusu anachofanya. Na kama utasema utaje orodha ya wakongwe ambao bado wanatikisa katika ulimwengu wa Bongo Fleva ambao umetekwa na vijana, huwezi kumkosa katika watu wako Kumi Bora. Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Top In Dar au kifupi TID. Top In Dar au kifupi TID ndilo jina lake maarufu la kisaniii, ingawa pia anafahamika...

 

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15

Hatma ya rapper Chidi Benz kuhusiana na kama ataachia huru au kufungwa jela kutokana na mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya, haikuweza kujulikana Alhamis hii baada ya kupanda tena kizimbani kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Chidi amepangwa kurejea tena mahakamani hapo January 15, 2015. Juzi rapper huyo alikuwa na […]

 

11 years ago

CloudsFM

KESI YA MBASHA YASOMWA TENA LEO MAHAKAMANI

Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji. Katika kesi hiyo inayoendeshwa na Hakimu Wilbert Luago,amelazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na matatizo ya usafiri.
Kauli hiyo ya Mbasha ilimfanya Hakimu Luago kuhoji kama kweli alikuwa na nia ya...

 

10 years ago

GPL

ACHAKAZWA SURA NA MKE MWENZIYE

Na Stephano Mango, Ruvuma
“Dunia imeharibika na binadamu hawana upendo wamegeuka kuwa na tabia kama za wanyama kila kukicha…” hiyo ni kauli yake Rehema Gwaya (41) mkazi wa Barabara ya Sokoine, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Rehema Gwaya akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa mafuta ya moto. Rehema ambaye ni mjasiriamali mdogo anayejishughulisha na kuuza juisi, alipatwa na mkasa wa kumwagiwa mafuta ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa?

Tokea atangeze kujiondoa ccm na kujiunga chama cha democrasia na maendeleo( Chadema)Mh Edward Luwassa ,imekua kasakamwa na wanafiki wa chama tawala na kulikuza swala la richmon mama vile yeye ni mtuhumiwa pekee ndani ya ccm alokua […]

The post Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa? appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani