Wadaiwa sugu wa ardhiwafikishwa mahakamani
NA RACHEL KYALA
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imezifikisha mahakamani kampuni 11 ambazo ni wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi.
Miongoni mwa kampuni hizo zinadaiwa ni S.H Amon, Highland Estate na Costix Limited ambazo zinadaiwa sh. milioni 80.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba, Wilaya ya Ilala, Yose Mlyambina, alisema malalamiko dhidi ya kampuni na watu binafsi 120, yaliwasilishwa katika baraza hilo na Kamishna wa Ardhi, Dk. Moses...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Wataka wadaiwa sugu wasakwe
Na Ahmed Makongo, Bunda
WADAU wa pamba katika wilaya ya Bunda, wamepitisha azimio la kuwasaka wakulima wanaodaiwa na kampuni zinazonunua zao hilo na kuwekeza katika kilimo cha mkataba wilayani hapa.
Azimio hilo lilipitishwa jana baada ya wadau hao kubaini kwamba wakulima wengi waliokopeshwa pembejeo na dawa za kunyunyizia pamba wilayani hapa, wanadaiwa mamilioni ya fedha.
Wadau hao wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Demunicus Lusasi, walipitisha azimio hilo katika kikao...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Dawasco: Tumeikabidhi Serikali wadaiwa Sugu
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Dawasco yataja wadaiwa sugu wa Sh40 bilioni
10 years ago
Mwananchi04 Nov
CAG: Taasisi za SMZ wadaiwa sugu wa umeme
10 years ago
Michuzi9 years ago
StarTV17 Dec
Mfumo mpya wa kuwatambua na Kudhibiti Wadaiwa Sugu Wa Mikopo wazinduliwa
Taasisi za Fedha Nchini zimeshauriwa kujiunga na mfumo mpya wa upatikanaji taarifa za wahitaji wa mikopo katika benki mbalimbali ili kuweza kudhibiti vitendo vya baadhi ya wananchi kutolipa kwa wakati ama kutolipa kabisa.
Mfumo huo ujulikanao kama Credit Scoring Tool utaziwezesha benki kuongeza mapato kutokana na uhakika wa urudishwaji mikopo kutoka kwa wateja na utasaidia kuongeza ufanisi wa utoaji wa mikopo kwa muda mfupi tofauti na mfumo wa zamani.
Taarifa zinaonyesha kuwa baadhi ya...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WADAIWA SUGU KODI YA ARDHI KUBANWA
Naibu Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Iringa (IRUWASA) Gilbert Kayange baada ya kumpatia taarifa inayoonesha kiasi cha kodi ya pango la ardhi inachodaiwa Mamlaka hiyo wakati wa zoezi lake la kuwafikia wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi katika mkoa wa Iringa tarehe 16 Mei 2020. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)
Naibu Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi...
10 years ago
GPLMZAZI MWENZIYE SUGU MAHAKAMANI TENA
5 years ago
MichuziTANESCO KATENI UMEME KWA WADAIWA SUGU MUONGEZE MAPATO-WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) pamoja na Wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya TANESCO wakipata maelezo kutoka kwa msimamizi mkuu wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Zuzu jijini Dodoma, baada ya...