Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawasco yataja wadaiwa sugu wa Sh40 bilioni

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), imesema inawadai wateja sugu Sh40 bilioni huku ikiwataka kulipa madeni hayo ili kunusuru utendaji wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dawasco: Tumeikabidhi Serikali wadaiwa Sugu

Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasco), imekabidhi kwa Wizara ya Maji wadaiwa sugu 12 wa huduma ya maji kwa ajili ya kuchukuliwa hatua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadaiwa kuihujumu Dawasco

BAADHI ya wamiliki wa nyumba katika maeneo ya Salasala na Mbezi Beach, Dar es Salaam wamedaiwa kulihujumu Shirika la Majisafi na Majitaka (Dawasco) kwa kuuza maji kwa magari yanayosambaza huduma...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wadaiwa sugu wa ardhiwafikishwa mahakamani


NA RACHEL KYALA
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imezifikisha mahakamani kampuni 11 ambazo ni wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi.
Miongoni  mwa kampuni hizo zinadaiwa ni S.H Amon, Highland Estate na Costix Limited  ambazo zinadaiwa sh. milioni 80.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba, Wilaya ya Ilala, Yose Mlyambina, alisema malalamiko dhidi ya kampuni na watu binafsi 120, yaliwasilishwa katika baraza hilo na Kamishna wa Ardhi, Dk. Moses...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wataka wadaiwa sugu wasakwe


Na Ahmed Makongo, Bunda
WADAU wa pamba katika wilaya ya Bunda, wamepitisha azimio la kuwasaka wakulima wanaodaiwa na kampuni zinazonunua zao hilo na kuwekeza katika kilimo cha mkataba wilayani hapa.
Azimio hilo lilipitishwa jana baada ya wadau hao kubaini kwamba wakulima wengi waliokopeshwa pembejeo na dawa za kunyunyizia pamba wilayani hapa, wanadaiwa mamilioni ya fedha.
Wadau hao wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Demunicus Lusasi, walipitisha azimio hilo katika kikao...

 

10 years ago

Mwananchi

CAG: Taasisi za SMZ wadaiwa sugu wa umeme

Wakati Shirika la Umeme Tanzania Zanzibar likitangaza operesheni kata umeme kwa wananchi na wafanyabiashara wanaodaiwa, taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) zinadaiwa 13.6 bilioni, ikiwamo Ikulu ya Zanzibar, imefahamika.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Dawasco yaitia serikali hasara ya Sh. bilioni 27

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) imeisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 27 kutokana na kutokidhi vigezo katika kusimamia upotevu wa maji. Kutokana na hali hiyo, imeipa bodi mpya ya Dawasco muda wa mwezi mmoja ili kutatua tatizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, ambayo ni ya tatu kwa Dawasco, Profesa Maghembe alisema hasara hiyo imetokana na kampuni hiyo...

 

9 years ago

StarTV

Mfumo mpya wa kuwatambua na Kudhibiti Wadaiwa Sugu Wa Mikopo wazinduliwa

Taasisi za Fedha Nchini zimeshauriwa kujiunga na mfumo mpya wa upatikanaji taarifa za wahitaji wa mikopo katika   benki mbalimbali ili kuweza kudhibiti vitendo vya baadhi ya wananchi kutolipa kwa wakati ama kutolipa kabisa.

Mfumo huo ujulikanao kama Credit Scoring Tool utaziwezesha benki kuongeza mapato kutokana na uhakika wa urudishwaji mikopo kutoka kwa wateja na utasaidia kuongeza ufanisi wa utoaji wa mikopo kwa muda mfupi tofauti na mfumo wa zamani.

 

Taarifa zinaonyesha kuwa baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yaikatia umeme Dawasco, yaidai Sh7 bilioni

Kibao cha operesheni kata maji kimeligeukia Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) baada ya kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ikidaiwa Sh7 bilioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani