Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ADAIWA KUFA, AIBUKIA DUKANI KWA MTU

Waandishi wetu SIMULIZI inashangaza! Hussein Mohamed (28) amewekewa msiba nyumbani kwa wazazi wake baada ya kuambiwa kijana huyo amefariki dunia.Tukio hilo lilijiri hivi karibuni Magomeni ya Makuti, Dar ambapo habari zilisema, Hussein alicharangwa mapanga Vingunguti Dar na watu wasiojulikana na amefariki dunia. . .....Soma zaidi===>http://bit.ly/1HzJASa ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ADAIWA KUFARIKI, AIBUKIA MAZISHINI

Dustan Shekidele, Morogoro
Maajabu! Dada mmoja msaidizi wa kazi za ndani maarufu kama Hausigeli, aitwaye Sophia Omari (24) ambaye ndugu zake walitangaza kuwa alifariki kwa kunywa sumu, aliibuka nyumbani kwao mtaa wa Tuelewane, Kihonda mjini Morogoro Jumanne wiki hii wakati wanandugu wakijiandaa kwa ajili ya mazishi ya mwili wake, Ijumaa lina mkasa kamili. Sophia Omari anayedaiwa kufa na kuibukia mazishini. Sophia aliyetinga...

 

11 years ago

Habarileo

Adaiwa kujinyonga hadi kufa

MKAZI wa Morogoro Said Tenga (53), amekutwa amekufa kwa kujinyonga chumbani.

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima:Siogopi mtu wala kufa

IMG_2845Na Asifiwe George,Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona haiendi sawa.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana,wakati wa mahubiri yaliyofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe.
Alisema uhusiano wake na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa utaendelea kubaki palepele.
Kwa mujibu Askofu Gwajima, baadhi ya watu wamekuwa wakimhusisha kuwa na urafiki na Waziri Mkuu wa zamani, Edward...

 

11 years ago

Michuzi

ulinzi wa kufa mtu kombe la dunia brazil

Ulinzi mkali kwa timu ya Taifa ya England jijini Rio de Janeiro, Brazil, kutokana na vurugu za wananchi wanaoona kuwa Kombe la Dunia kwao ni kupoteza muda na pesa wakati huduma muhimu za kijamii ni duni na mishahara haitoshi.

 

9 years ago

GPL

FAMILIA KUFA AJALINI ‘KUNA MKONO WA MTU!'

Stori: Na mwandishi wetu BADO ni kilio! Bado ni simanzi katika Kijiji cha Marangu, Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro kufuatia vifo vya wanafamilia watatu, Elimringi Minja, 60 (baba), Tudetsiwe Sanga, 48 (mke) na mtoto wao, Haikaeli John (10).
Watatu hao maisha yao yalikatishwa kwenye ajali ya Basi la Metro iliyotokea Septemba 15, mwaka huu katika eneo la Manga, Handeni mkoani Tanga na hivyo kuiacha nyumba yao katika ukimya wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wellu Sengo Adaiwa Kutoka na Mume wa Mtu, Steven Nyerere

Saaaasa????? @stevenyerere2 ndo umeoa mke wa pili au?? Yaan mkeo anavyokupenda!!! Sehemu zote muhimu au outing badala ya kutoka na mkeo unatoka na huyo....jana mliman city pia mlikuwa wote...sasa kama vipi tutambulishane otherwise wanawake tutaandamana!! Ole wako useme ni movie..... .projects .BongoMovies!!!

@sengomatilda 1. Steve ni mume wa mtu! 2. Familia yake inamuhitaji! 3. Mkewe hayuko tayari kuvunja ndoa yake 4.Wewe ni mrembo unastahili upate wako 5. Steve ana maneno matamu ya...

 

9 years ago

Michuzi

MTU MMOJA ADAIWA KUKUTWA AMEFARIKI LEO ASUBUHI JIJINI MBEYA.

Mtu mmoja Jijini Mbeya (PICHANI JUU) ambaye hakuweza kutambulika kwa Majina,inadaiwa amekutwa amefariki  leo asubuhi kwenye moja ya uchochoro  wa nyumba zilizopo katika mtaa wa Mwamfupe.
Kifo cha Mtu huyo ambaye inaelezwa ni kijana wa makamo alikutwa amefariki kwenye uchochoro wa nymba hiyo mara baada ya kubainika na baadhi ya Wananchi,waliokuwa wakikatiza mtaa huo kuelekea mtaa mwingine,Baadhi ya Mashudhua wa eneo hilo wameeleza kuwa mtu huyo si mkazi wa mtaa huo,
 "Mtu huyo si Mkazi wa Eneo...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS

Wanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' na Mzee Yusuf (kushoto) wakipozi baada ya kufanya mahojiano na wanahabari leo. Wanamuziki hao wakionyesha mbwebwe zao mbele ya wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Michuzi

CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI YA KUFA MTU KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014 PALE MLIMANI CITY

Na Josephat Lukaza
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani