Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aelezea kwa nini alikata uume wake

Je unamkumbuka mwanamuziki wa kufoka Andre Johnson ambaye alikata Uume wake mwezi Aprili mjini Los Angeles Marekani?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Mwandishi aelezea kwa nini ilikuwa vigumu kwa yeye kutazama video ya mauaji.

Wamarekani weusi nchini Marekani wameeleza namna ilivyo vigumu kutazama picha ya video ya mauaji ya Floyd.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA CHETI CHA UHALISI WA MADINI YA BATI...AELEZEA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amezindua cheti cha Uhalisi wa madini ya Bati ambapo amesema uzinduzi huo ni muhimu kwa Taifa letu pamoja na nchi za maziwa makuu.

Amezidua cheti hicho cha uhalisi wakati wa mkutano wa wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika leo Februari 23,mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar ea Salaam.

Nchi mbalimbali zimepata Cheti cha halisi wa madini ya Bati ambazo ni Uganda, Burundi,...

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli Kuhusu Tevez Aliyekatwa Uume Wake Baada ya Kuwazulumu Madawa ya Kulevya Wenzake

HABARI ZA UHAKIKA JUU YA SAKATA LA JUMAANNE TEVEZ. Nikweli kwamba huyu bwana yuko South Africa Pretoria. Bwana Tevez alodhaminiwa mzigo na vijana wenzake huko Bondeni kwamba akauze kisha alete Mpunga. Mdhamini alikuwa ni Kijana wa Kibongo anayeonekana pichani anayeitwa Jeff Katili mtoto wa Ilala ambaye maskani yake ni South. TEVEZ baada ya kuchukua mzigo uliokuwa na thamani ya takriban milioni mia moja na hamsini (150,000,000/=) aliingia mitini hakurudi tena. Kilichotokea Jeff baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ramadhan aelezea ubingwa wake

Bingwa wa medali ya dhahabu wa mbio ndefu za Bamako Marathon, Samson Ramadhan amesema alimpa nafasi kubwa ya kushinda mpinzani wake David Nthiga wa Kenya aliye kuwa mbele tangu mwanzo wa mbio hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini Simba inaingia migogoro na wachezaji wake?

>Kwa nini iwe Simba tu? Hilo ndilo swali ambalo wengi watakuwa wanajiuliza wakati klabu hiyo ikiwa kinara wa migogoro ya kimkataba baina yake na wachezaji.

 

9 years ago

Michuzi

JUMA NATURE AELEZEA MSIMAMO WAKE WA KUFANYA KAMPENI

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature leo alikua akiongea na Waandishi wa Habari juu ya Ufanyaji kazi wake katika kipindi hiki cha kampeni Ambapo aliongozana na Mgombea Ubunge jimbo la Mbagala ambaye ni rafiki mkubwa na jirani wa msanii huyo Ndg Issa Mangungu. Juma nature kwa sasa amerudi kufanya kampeni na chama cha mapinduzi CCM na ameamua kuelezea nia ya kurudi CCM baada ya mashabiki kumuona katika Majukwaa mengine ya vyama vya kisiasa. 
 Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni...

 

11 years ago

Bongo5

Dully Sykes aelezea maana ya wimbo wake ‘Togola’

Dully Sykes ana wimbo mpya uitwayo Togola uliotengenezwa katika studio zake za 4.12. Akiongea na EFM hivi karibuni, Dully alidai kuwa Togola ni salam ya kabila la kizigua. “Togola maana yake kama salamu tu, kizigua hicho,” alisema Dully. Unajua mwanaume unapokuwa mwenyewe huna partner ndani ya gari inabidi uanze kutizamatizama nikasema ‘mtizame’ lakini kutizamatizama unaweza […]

 

10 years ago

Vijimambo

DULLY SYKES AELEZEA MCHANGO WA BABA YAKE KATIKA MUZIKI WAKE

Jana ndipo ilipokuwa safari ya mwisho ya Marehemu Mzee Sykes baba yake na Msanii Mkongwe Nchini Dully Sykes ambapo Mzee Sykes alipumzishwa katika makazi yake ya Milele huko katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar-es-Salaam.
Kutokana na Msiba huo Tokea Juzi simu ya Dully Imekuwa haipatikani Ila leo @DjHaazu wa @MamboJamboRadio amempata na Kupiga naye Story mbili tatu kuhusiana na Marehemu Mzee Sykes kwa kifupi.Katika Mazungumzo yake Dully ameeleza kuwa Mzee Wake alikuwa anaugua Muda mrefu na...

 

9 years ago

Bongo5

Khadija Mwanamboka aelezea mafanikio ya mgahawa wake wa VVK na mipango ya mwakani

4K0A5045

Mjasiriamali na mbunifu wa mavazi nchini, Khadija Mwanamboka amesema ubunifu anaoutumia kwenye mavazi, aliuhamishia kwenye biashara yake ya mgahawa wa vyakula ‘VVK’ ndio maana mwezi huu unatimiza mwaka mmoja ukiwa na mafanikio makubwa.

4K0A5075

Khadija ameiambia Bongo5 kupitia mgahawa huo wa VVK ambacho ni kirefu cha Vitu Vya Khadija uliopo Block 41 Kinondani, jijini Dar es salaam, amesema dani ya mwaka mmoja ameweza kuvuka matarajio ya kuwafikia wateja wengi zaidi.

“Nimeamua kuwa serious kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani