Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afya ya Johari Yashtua Wengi!

KUNENEPEANA! Na ‘kuumuka’ kwa muigizaji wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ kumezua gumzo na mishangao kwa wadau wengi wa filamu na burudani huku wakihoji kwa undani mabadiliko hayo ya ghafla kwani siku chache zilizopita Johari alikuwa habari ya mjini kutokana na kudhoofika kwa afya yake.

Wakizungumza na Amani hivi karibuni, baadhi ya mashabiki na wasanii mbalimbali, walionekana kushangazwa na muonekano mpya wa Johari na wengine kufika mbali kwa kuhusisha na madawa maalum ya...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Studio binafsi ya Millard Ayo yashtua wengi

Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo na mshindi wa vipengele viwili kwenye Tuzo za Watu mwaka jana ni mtu wa mambo ya kimya kimya ndio maana picha ya studio aliyokuwa akiijenga nyumbaji kwake kwa mwaka mzima zimewashtua wengi. Mtangazaji huyo wa kipindi cha Amplifaya anakuwa mtangazaji wa kwanza Afrika Mashariki kama si Afrika nzima kuwa […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

10 years ago

Vijimambo

Utoaji huduma za afya bure waendelea kuvutia wengi Sabasaba

Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo. Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo.Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti mpya ya UNICEF yashtua.

Zaidi ya watoto milioni 16 duniani, wamezaliwa katika mazingira ya kivita katika kipindi cha mwaka mmoja pekee.

 

10 years ago

Mwananchi

Idadi ya vijana wenye Ukimwi Dar yashtua

>Wakati vijana 40,000 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24, wakibainika kuambukizwa ugonjwa wa Ukimwi jijini Dar es Salaam, viongozi, wabunge  na wafanyabiashara wametajwa kuwa vinara wa kusambaza ugonjwa huo.

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

9 years ago

Bongo5

Dar kuna wasanii wengi wakali ila wengi hawana nidhamu — Producer T-Touch

Miongoni mwa vitu vinavyoikamilisha ‘package’ ya msanii mzuri ukiachilia mbali kipaji ni pamoja na nidhamu ya kazi, pamoja na watu wanaomzunguka msanii wakiwemo mashabiki. Producer T-Touch amesema kuwa msanii bila kuwa na nidhamu ni ngumu kufanya vizuri hata kama ana kipaji. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio producer huyo aliyefanya hits ikiwemo ‘Muziki Gani’ […]

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO


The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani