Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Agizo la Makala lazua ‘tafrani’ mitandaoni

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala amelalamikiwa na baadhi ya wakazi wa mkoa huo kwa kuruhusu uvunaji wa misitu kwa ajili ya kutengeneza madawati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Tishio la Al-Shabaab lazua taharuki

Liberatus sabasNa Mwandishi Wetu
TAARIFA za kundi la kigaidi la Al-Shabaab kutekeleza shambulio katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha jana zilizua taharuki kubwa katika baadhi ya taasisi, vyuo na maeneo mengine, huku baadhi wakibaki wasijue la kufanya.
Hofu kubwa ilitanda jana katika maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo, kutokana na ujumbe ambao umekuwa ukisambazwa muda mrefu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii na simu za mkononi, ukidaiwa kutolewa na Umoja wa Mataifa (UN), ukiwatahadharisha watu...

 

10 years ago

Mwananchi

Soko la mitumba lazua mvutano

Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema) ameamua kujenga soko la kisasa eneo la Kiboriloni litakalokuwa na vibanda 200 na eneo la wazi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa mitumba.

 

10 years ago

GPL

JIKE DUME LAZUA KIZAAZAA

Stori: Gladness Mallya/Amani
Dume zima ovyoo! Katika hali ya kushangaza, mwanaume mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja amezua kizaazaa ukumbini baada ya kutinga akiwa amevalia nguo za kike na kuonekana kama mwanamke. Mwanaume huyo tata (kulia) akikata mauno. Mwanaume huyo aliyepachikwa jina la Jike Dume hilo alinaswa na Amani katika Ukumbi wa Flamingo ulipo Magomeni, Dar, wiki iliyopita wakati Bendi ya Extra Bongo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bomu lazua taharuki uwanjani Dortmund

Bomu la vita vya pili vya dunia ambalo halijalipuka limepatikana katika uwanja wa Borussia Dotmund.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tangazo la biashara lazua zogo China

Kampuni moja China huenda ikatozwa faini kwa kuwakodi wanawake kuvua nguo zao kwenye treni mjini Shanghai kama tangazo la biashara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tetemeko lazua hofu ya tsunami Chile

Tetemeko linalofikia kiwango cha 8.0 katika Rikta, limeibua tahadhari ya janga la Tsunami katika eneo zima la Kusini Marekani.

 

11 years ago

GPL

BOMU LA KKKT MWANZA LAZUA HOFU

Stori: Mwandishi Wetu, Mwanza
SIKU chache baada ya kulipuka kwa kitu kilichosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Ziwa Victoria, Makongoro Misheni, Mwanza, wananchi wameendelea kuishi kwa hofu kwa kutokea mlipuko mwingine. Kwenye mlipuko huo wa awali uliotokea Jumatatu iliyopita, mhudumu wa nyumba ya kulala wageni ya kanisa hilo, Benedata Alfred (25)...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia lazua kasheshe majumbani

Wanawake mjini Mombasa pwani ya Kenya walalamika kuwa waume zao wamewateleka wakati huu wa kombe la dunia

 

10 years ago

BBCSwahili

Baraza la mawaziri lazua hisia Tanzania

Siku mbili baada ya rais wa Tanzania kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri,kumekuwepo hisia tofauti

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani