Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahimiza vijana kujitokeza kuwania ubunge

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka vijana wasomi wilayani Hanang kujitokeza kuwania Ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, kwa lengo la kusukuma kasi ya maendeleo jimboni humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTANGAZA NIA YA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM, WAKILI ELIAS NAWERA AHIMIZA VIJANA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Wakili Elias Nawera akizungumza na vijana wa Kata ya Kawe. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili Elias Nawera ambaye ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM akizungumza na wananchi hasa vijana kwenye fainali ya mpira wa miguu kati ya timu ya Halisi FC na Stand United zilizofanyika viwanja vya Tanganyika Peackers Kawe Dar es Salaam jana ambapo aliwaomba ifikapo Julai 4 mwaka huu kujitokeza kwa wingi...

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza wanawake kujitokeza kupima saratani

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imeweka mikakati ya kuhakikisha inapunguza vifo vinavyotokana na saratani ya mlango wa kizazi na matiti nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA IRINGA TUMAINI MSOWOYA AWAOMBA WANAWAKE KUJITOKEZA KUWANIA UONGOZI

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya akimkabidhi msaada mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya watoto kwenye Hospitali ya mkoa, wakati alipotembelea wodi ya watoto 22. Msowoya, akifurahia kumpakata mmoja kati ya watoto waliolazwa katika wodi hiyo.Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Iringa, Tumainia Msowoya, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Katavi, William Mbongo na Katibu wa UVCCM Wilayani Mufindi, Kantala, wakiteta jambo.
Na Fredy Mgunda, IringaWakati watanzania tunaanzimisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi za uongozi

VIJANA wametakiwa kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana, na mmoja wa wagombea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chatanda awataka Vijana Singida kujitokeza kujiandikisha daftari la wapiga kura

DSC04237

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akitoa nasaha zake kwenye hafla iliyofana  ya CCM kata ya Mughanga kusherehekea ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika desemba mwaka jana. CCM kata ya Mitunduruini imezoa nafasi zote zilizokuwa zikigombewa.Wa kwanza kulia ni diwani viti maalum,Anita Awadh na kushoto (wa pili kushoto ni katibu CCM mkoa wa Singida,Mary Chatanda na wa kwanza kushoto ni mwenyekiti CCM kata ya Mughanga.

Na Nathaniel Limu, Singida

VIONGOZI wa...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KWANZA LA KIPEKEE LA KUWAWEZESHA WANAWAKE NA VIJANA

Pichani wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment ya jiji Dar,akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Serena Hotel,kuhusiana  tamasha la kwanza na la aina yake kufanyika nchini Tanzania, lenye lengo la kuongeza na kuchochea uelewa wa wanawake katika kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiwekea akiba.
 “Tamasha hili limeandaliwa ili kuwaonesha wanawake na vijana umuhimu wa kuweka akiba, aina tofauti...

 

9 years ago

StarTV

Dk. Bilal ahimiza vijana wabunifu kujiajiri

Makamu wa Rais Dokta Mohamed Gharib Bilal amewataka vijana kutumia kazi za ubunifu kama sehemu ya kujiongezea ajira na kuchangia zaidi kwenye pato la taifa kwa kutumia nguvu walizonazo.

Amesema, kwa wakati huu ambapo sekta ya ajira inakabiliwa na changamoto nyingi, hususan nafasi chache kwenye ajira rasmi, vijana hawana budi kuzingatia elimu ya ubunifu ili kukidhi upungufu uliopo.

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa huduma ya kurudisha taarifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani