Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIKON HACHEZI NA EBOLA AFANYA ONESHO NDANI YA PUTO

akon bubble
Despite being born in St. Louis, Missouri, Akon considers Africa to be his home. So, when he performed in a large outdoor space neighboring an aiport in the capital of the Democratic Republic of Congo, one could consider it a homecoming for the immensely successful artist, producer, label executive, and 5-time Grammy nominee. That being said, the Ebola virus is no joke, and to avoid contracting it from anybody, when Akon left the stage to crowd surf with the people that were attending his...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Video:Aliyeruka kwa puto ajipata hatiani

Raia mmoja wa Canada aliyeruka kwa puto alijipata hatiani aliposhtakiwa kwa kuwa mtundu

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete afanya uteuzi Mambo ya Ndani

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Seperatus Fella kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Kamati ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu. Kabla ya uteuzi huo, Fella alikuwa Kaimu Katibu wa Kamati hiyo na uteuzi wake ulianzia Agosti mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

kijasti afanya utalii wa ndani kilwa masoko

Mchora vibonzo, Nathan Mpangala akiwa mbele ya gofu la Makutano Palace lililo Kilwa Kisiwani, Lindi hivi karibuni. Hakika Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo!  Mchora vibonzo, Nathan Mpangala akiwa makaburi ya Familia ya Sultani wa Kilwa, Al Hassan Bin Suleiman, Kilwa Kisiwani, Lindi hivi karibuni. Makaburi haya yanayodaiwa ya karne ya 16 yana alama ambazo ni rahisi kugundua lipi la mwanaume na lipi la mwanamke. Mchora katuni, Nathan Mpangala (mwenye sanigogozi) akisikiliza simulizi toka kwa...

 

10 years ago

GPL

IGP MANGU AFANYA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA POLISI

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu. Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi. Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi...

 

10 years ago

GPL

LINAH AFANYA ‘BETHIDEI’ NDANI YA BOTI

Msanii wa Bongo Fleva, Linah akiwa amezungukwa na baadhi ya ndugu na jamaa zake wakati akikata keki iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika ndani ya boti. Keki ya bethidei ikiwa mezani kabla ya kukatwa. Linah akimlisha keki kaka’ake.…

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

Mweli afanya ziara kukagua ujenzi wa mabweni Sekondari ya Jangwani, Aagiza kukamilika ndani ya mwezi mmoja

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI (E) Gerald Mweli ameridhishwa na ujenzi wa mabweni mawili  katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani iliyopo Jijini Dar es salaam.

Mweli ameonyesha kufurahishwa na hali hiyo alipokwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo pamoja na miundombinu mingine inayoendelea kukarabatiwa katika shule hiyo.

Akizungumza katika ziara hiyo Mweli amesema mabweni  hayo mawili yatakua na uwezo wa kuchukua wanafunzi 80 kila moja hivyo wanafunzi 160 wakike...

 

11 years ago

Michuzi

ONESHO LA KITALII LA S!TE LATAMBULISHWA RASMI INDABA

Na Geofrey Tengeneza Onesho la Kimataifa la Utalii la Tanzania lijulikanalo kama Swahili International Tourism Expo (S!TE) linaroratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB na litakalokuwa likifanyika kila mwaka mwezi Oktoba katika eneo la Mlimani City jijini Dar es salaam limetambulishwa rasmi kwa wadau mbalimbali waliohudhuria maonesho ya Kimatatifa ya Utalii ya INDABA huko Durban Afrika Kusini.  Akizungumza wakati wa kutambulisha onesho hilo, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani