Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel yakabidhi magari kwa washindi 8 wa Mkoa wa Dar es saalam


 Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Lilian Festo Mjimba katika hafla iliyofanyika Makao
Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo.  Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh mil 15 kwa chuo kikuu cha Dar es saalam

 Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (kushoto) akikabidhi jezi kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa pili kushoto) na Mratibu wa...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI

Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary jana katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania. Anayeshuhudia (katikati) Mkurugenzi wa wa kitengo cha Mawasiliano bi Beatrice Singano Mallaya . Airtel imekabidhi magari matatu katika hafla hiyo. Mshindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu...

 

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Promesheni ya Airtel yatosha Zaidi wakabithiwa magari yao

Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange (kulia), akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 782 DCZ, kwa mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Donald Fred Baruti katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa mshindi huyo, Mtaa wa Ngala, eneo la Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati) ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando.Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA DROO YA MWISHO YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI YAO

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Tipwa Rashid Mapunda (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia (kutoka wa pili kushoto) ni washindi wengine wa droo hiyo, William Saimon Sondi na Boutrous Hebron Mwanjali.Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia),...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAKABIDHI FUTARI KWA WATOTO YATIMA KATIKA VITUO VITATU MKOANI DAR ES SALAAM.

 Meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia) akiongea na wawakilishi wa vituo vitatu vya watoto yatima baada ya kukakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vya mfungo wa Ramadhani kwa wawakilishi wa vituo vya kulelea watoto waliokatika mazingira magumu. Vituo vilivyopata msaada huo ni pamoja na  Almadina cha Tandale, Dogodogo cha Kigogo na Hisani cha Mbaga .wakishuhudiwa na baadhi ya watoto waishio katika vituo hivyo, katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana....

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yakabadhi wakaazi wawili wa Mkoa wa Manyara magari aina ya Toyota IST

Wakaazi wa wawili wa wilaya ya Hanang Mkoani Manyara kwa pamoja wamezawadiwa magari yao aina ya Toyota IST mara baada ya kuibuka washindi katika droo za promosheni ya Airtel yatosha Zaidi inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  Mpaka sasa jumla ya washindi 37 wameshapatikana kutoka katika mikoa mbalimbali ikiwa bado promosheni inaendelea na magari mengi bado yanasubiri washindi ili wakabithiwe akiongea wakati wa halfa ya kukabidhi magari kwa wateja wa Airtel Mkoani...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS YAKABIDHI MEZA MBILI KWA CHAMA CHA MAGAZETI MKOA WA DAR ES SALAAM‏

Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea kulia akimkabidhi meza mbili za ofisini kwa makamu mwenyekiti wa wauza magazeti mkoa wa Dar es salaam  zilizotolewa na kampuni yake ya Global Publishers. Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea kulia akimwangalia makamu mwenyekiti wa wauza magazeti mkoa wa Dar es salaam jinsi anavyo andika taharifa… ...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI AIRTEL RISING STARS DAR WATUNUKIA

 Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodhawa timu ya Harmburg Queens Jamila Kassim baada ya kuwa mabingwa katikamichuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Starsmkoa wa kisoka wa Ilala. Hafla ya kukabidhi kombe ilifanyika janakatika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume Jijini Dar-es-Salaam.  Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Evergreen Linda Shilla baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya...

 

11 years ago

Michuzi

Samsung Tanzania yakabidhi zawadi kwa washindi wake

Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi jiko la kuokea (Macrowave),Mary Nyarusi mkazi wa Jiji la Arushaambaye ni  mmoja wa wateja walioshinda zawadi mbalimbali baada ya kununua bidhaa halisi za kampuni hiyo,wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi hizo iliyofanyika hivi karibuni kwenye Duka lao lililopo Quality Centre,jijini Dar es Salaam.    Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Ibrahim Kombo (kushoto), akimkabidhi kamera ndogo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani