Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajinyonga akidai kadanganywa na mwanaume

MAMA lishe Sofia Kihagu (28), mkazi wa Tabata Msimbazi amekutwa amejinyonga chumbani kwake hadi kufa kwa madai ya kudanganywa na mwanaume.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANAUME AJINYONGA...

Na Waandishi Wetu
NI simulizi ya majonzi! Fundi seremala Samuel Masanja,  mkazi wa Ilala jijini Dar amechukua ‘maamuzi’ magumu ya kujinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni msongo wa mawazo kwa sababu ya madeni yaliyosababishwa na kuwepo kwa uhusiano wake na kimada mmoja. Kwa mujibu wa mtu wa karibu na marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Stany, kipindi cha uhai wake Samuel hakuwa na maelewano mazuri na...

 

10 years ago

GPL

AMTWANGA MKEWE AKIDAI AMEMFUMANIA

Na Mwandishi Wetu, Mbeya SHANGAA! Mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Tumaini Mwashambo (28), mkazi wa Mtaa wa Half Londan, Kata ya Sogea wilayani Momba, Mbeya amejikuta akipokea kipigo kikali kutoka kwa mumewe, Jamsoni Vicent (34) akidai amemfumania na mtoto wa miaka 16 ‘Serengeti boi’. Tumaini Mwashambo anayedaiwa kupigwa na mumewe. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Jamsoni alisema ni mara ya pili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muhubiri awabaka wanawake akidai kuwaponya

Muhubiri wa zamani aliyedai kuwa na 'nguvu za kuponya' amepewa adhabu ya kifungo cha nje cha miaka ishirini kwa kuwabaka wanawake watatu

 

9 years ago

Mwananchi

Mkapa amvaa Sumaye akidai anapotosha wananchi

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa juzi alianza kuruka na chopa katika kampeni za mwisho za kumnadi mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli na alitumia fursa hiyo kumvaa aliyekuwa waziri wake mkuu kwa miaka 10, Frederick Sumaye.

 

11 years ago

Habarileo

Aua mke mjamzito akidai mvivu wa kulima

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMJAMZITO Agatha Isack (19) amekufa kwa kipigo kutoka kwa mumewe akisaidiwa na mwanamke anayeaminika kuwa hawara yake, akimtuhumu kuwa mvivu wa kulima shambani.

 

11 years ago

Mwananchi

Baba anyonga mtoto akidai si wa kwake, atoroka nyumbani

>Mtoto mchanga wa umri wa wiki mbili, ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, katika ugomvi wa kifamilia, uliotokea katika Kijiji cha Ibamba, wilayani Bukombe, katika Mkoa wa Geita.

 

10 years ago

GPL

NABII AWALAZIMISHA WAFUASI WAKE KULA NYOKA AKIDAI CHOCOLATE

KATIKA hali ya kushangaza, nabii mmoja nchini Afrika Kusini ajulikanaye kwa jina la Penuel Mnguni, kutoka End Time Disciples Ministries, wikiendi iliyopita aliamua kuwalazimisha waumini wake kuna nyoka akidai kuwa amembadili nyoka huyo kuwa chocolate. Nabii huyo alidai kuwa nyoka hawezi kumdhuru mtu yeyote anayemla na hiyo ni ishara kula tayari amebarikiwa. Tuna mamlaka ya kubadilisha kitu chochote na kitakubali maana tuna...

 

11 years ago

Mwananchi

Kijana aishi kwa kula mifuko ya plastiki akidai ‘ni mitamu’

Kijana mwenye umri wa miaka 23 amejikuta katika wakati mgumu, baada ya kuathiriwa na tabia ya kula mifuko na bidhaa za plastiki.

 

10 years ago

GPL

MAMA MJANE ANA SIKU TATU HAJATOKA NJE AKIDAI KUTISHIWA KUUWAWA KISA ARDHI

Mama Aureria Msuya (mjane) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakizungumza na mama huyo(hayupo pichani) akiwa kajifungia ndani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani