MWANAUME AJINYONGA...

Na Waandishi Wetu NI simulizi ya majonzi! Fundi seremala Samuel Masanja, mkazi wa Ilala jijini Dar amechukua ‘maamuzi’ magumu ya kujinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni msongo wa mawazo kwa sababu ya madeni yaliyosababishwa na kuwepo kwa uhusiano wake na kimada mmoja. Kwa mujibu wa mtu wa karibu na marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Stany, kipindi cha uhai wake Samuel hakuwa na maelewano mazuri na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Jan
Ajinyonga akidai kadanganywa na mwanaume
MAMA lishe Sofia Kihagu (28), mkazi wa Tabata Msimbazi amekutwa amejinyonga chumbani kwake hadi kufa kwa madai ya kudanganywa na mwanaume.
10 years ago
GPL
HAUSIGELI AJINYONGA!
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Mke wa Polisi ajinyonga
WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti, akiwamo mke wa Polisi aliyefariki dunia kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alimtaja mke...
10 years ago
GPL
MUME AJINYONGA UKWENI
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Mlinzi wa shamba ajinyonga
MKAZI wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, Hassan Ngoso (48), ambaye ni mlinzi wa ahamba, amefariki dunia baada ya kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema tukio...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Mahabusu ajinyonga chooni
MAHABUSU, Vumi Elias (30), amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia tambala la kupigia deki ndani ya choo cha mahabusu ya Kituo cha Polisi Tunduma. Elias, mkazi wa Maporomoko-Tunduma, aliyetuhumiwa...
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mwalimu ajinyonga chooni
MWALIMU wa Shule ya Msingi Mwang’osha Kata ya Nyamalongo wilayani Shinyanga, Christipian Mafuru (24) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa madai ya msongo wa mawazo.
11 years ago
Mwananchi18 Sep
Mwanafunzi ajinyonga hospitalini
11 years ago
Habarileo24 Jan
Ajinyonga chumbani kwake
MKAZI mmoja wa Ukonga aliyetambulika kwa jina la Justine Tumbeza (43) amekutwa chumbani kwake amejinyonga.