Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajira Wizara ya Kilimo, jee jina lako limo?

Ukipita mbele ya jengo la Wizara ya Kilimo na Maliasili hapo Darajani utakutia karatasi zimebandikwa ukutani kama picha zinavyojieleza. Huo ndio utaratibu unaitumika kutoa matokeo ya nafasi za kazi kwenye Mawizara ya SMZ. Na huo ndio […]

The post Ajira Wizara ya Kilimo, jee jina lako limo? appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JE UNAITAMBUA SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO BASI SOMA HAPA KUIJUA SASA


HERUFI AMwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.
HERUFI BMwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.
HERUFI CMwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA TANZANIA JINA LAKO NI TAMU SAAAAAAANA

Mpaka karne hii tunakuwa na imani potofu hivi ni nani aliyetuloga wa Tz, utafiti ulifanyika! wahusika! wakabainika!,mpaka leo mwaka mwingine wa uchaguzi umefika! hakuna kilichofanyika!, je'na viongozi wanahusika? Sheria mikononi mwetu sasa kw yeyote anayehusika! 
Zuia mauaji ya

STOP KILLING OUR DEAR BROTHERS & SISTERS WITH ALBINISM.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kilimo ajira kwa vijana Kenya

Vijana nchini Kenya wanabugia kilimo na kuifanya kuwa mojawapo ya njia za kuwapa ajira

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara: Soko la ajira limeongezeka

WIZARA ya Kazi na Ajira imesema uzalishaji kwenye soko la ajira nchini umeongezeka kati ya Julai hadi Septemba mwaka huu ambako ajira 139,361 zimezalishwa. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana...

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Wizara ya Kilimo yapita

PAMOJA na wabunge kuchachamalia makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kuondoa shilingi mara kadhaa, bajeti hiyo ilipita pamoja na maboresho.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara yafuta ajira 200 za Uhamiaji

Wizara ya Mambo ya Ndani imefuta ajira 200 za konstebo na koplo katika Idara ya Uhamiaji baada ya kubaini kuwa kulikuwa na upendeleo katika usaili na sasa zitatangazwa upya na kusimamiwa na wizara hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani