Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajitolea majaribio ya kukatwa kichwa ili abadilishiwe mwili

Duniani kuna mambo. Wakati watu wengi hawapendi kusikia taarifa za vifo au kufanya jambo lolote linaloweza kuwasababishia kifo, huko Urusi jamaa mmoja amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa yuko tayari kufanyiwa majaribio ya kukatwa kichwa chake ili kuunganishwe kwenye mwili wa mtu mwingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtoto auawa kwa kukatwa kichwa

 Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka sita, jina linahifadhiwa ameuawa kikatili kwa kujeruhiwa vibaya sehemu zake za siri baada ya kunajisiwa, kisha kukatwa kichwani na watu ambao bado hawajajulikana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Unachohitaji kukifanya ili kufanikiwa katika sarakasi za kupindisha mwili

Mwanasarakasi Aleksei Goloborodko amekua akipindisha mwili wake katika muonekano wa kushangaza tangu alipokua na umri wa miaka mine.

 

10 years ago

Michuzi

MSIBA NEW YORK NA TANZANIA. MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,TUTAUAGA MWILI BRONX,NEW YORK. RATIBA HII ITATEGEMEA NA UKAMILIFU WA MICHANGO YETU TAFADHALI CHANGIA ILI TUKAMILISHE JUKUMU HILI KWA PAMOJA.

MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajitolea kutoa ubikira siku ya wanawake

Mwanamume mmoja amejitolea kutoa ubikira wake wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake.

 

11 years ago

GPL

Kocha Mbelgiji ajitolea kuinoa Yanga

Kocha Luc Eymael raia wa Ubelgiji. Na Hans Mloli
SAA chache baada ya kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kuweka wazi kwamba hataendelea kuinoa timu hiyo msimu ujao, tayari Kocha Luc Eymael raia wa Ubelgiji ametangaza kuwa yupo tayari kuchukua mikoba ya Mholanzi huyo. Pluijm amemaliza mkataba wake wa miezi sita na jana alitangaza kutimkia Saudi Arabia alikopata ofa nzuri zaidi kuinoa Al Shoala SC inayoshiriki ligi kuu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakili Mluge ajitolea kumtetea mwandishi kortini

WAKILI wa Kujitegemea, Karoli Mluge, amejitolea kumtetea mwandishi wa habari, Editha Majura, kudai makazi yake kwa wasimamizi wa mirathi ya baba mzazi wa watoto wake wawili, marehemu Samweli Komba. Shauri...

 

10 years ago

Mwananchi

Makaidi ajitolea kunusuru ‘ndoa’ ya Zitto, Chadema

Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk Emmanuel Makaidi amejitolea kusuluhisha mgogoro baina ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na chama chake cha Chadema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani