Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akaunti ya Instagram ya Diamond Platnumz yawa ‘verified’

Mtandao maarufu wa kushare picha wa Instagram ume‘verify’ akaunti ya Diamond Platnumz na kumfanya aingie kwenye orodha ya wasanii wa Afrika akiwemo Davido, wenye akaunti zilizokuwa verified. Akaunti ya Diamond imekuwa verified na kuwekewa kitiki cha blue kuonesha kuwa ni akaunti halali baada ya kufikisha followers 1.1 million, na kumfanya awe ni msanii ambaye akaunti […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip:Diamond Platnumz aongoza kuwa na wafuasi wengi mtandao wa Instagram

DIAMOND789

 

Diamond Platinum mwenye Followers 571K ‘Kings of Instagram fans’ kwa mujibu wa Modewji blog, utafiti uliofanywa na timu nzima ya dewjiblog.com

… afuatiwa kwa karibu na Wema Sepetu ..wamo pia Kajala Masanja, MillardAyo, Veemoney, Zari 

Na Andrew Chale wa MOdewji blog

Huenda bado ujapata kutembelea mitandao ya kijamii ikiwemo Instagrma, Twitter na Facebook ambayo kwa sasa  ndio imekuwa kimbilio la mastaa wengi wa Bongo wakiwemo wa filamu, muziki na watu maalufu.

Uchunguzi wa kina uliofanywa...

 

10 years ago

GPL

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE INSTAGRAM

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ . MUIGIZAJI wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa na wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake. Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo...

 

9 years ago

Bongo5

Instagram waifungia akaunti ya Idris Sultan, aeleza kilichosababisha

Instagram imeifungia akaunti ya mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan. Idris ameimbia Bongo5 kuwa hatua hiyo imekuja baada ya kuvunja masharti ya mtandao huo. Amesema anadhani sababu za kufungikiwa kwa akaunti yake ni kutokana na kupost kipande cha video kutoka kwenye filamu ya The Interview iliyowahi kupigwa marafuku katika baadhi ya nchi. “Nafikiria labda kutokana […]

 

9 years ago

Bongo5

Hackers waigeuza akaunti ya Instagram ya Fid Q kuwa ya Wema Sepetu!

Kama unaitafuta akaunti ya Instagram ya Fid Q kuanzia jana bila mafanikio basi fahamu kuwa hackers wameitaifisha, kufuta picha zake zote na kuigeuza kuwa ya Wema Sepetu. Akaunti hiyo ina followers zaidi 160,000. “Account hii imekuwa hacked jana usiku ila mimi nimegundua leo asubuhi,” Fid ameiambia Clouds FM. “Niligundua baada ya kuingia katika account ikawa […]

 

10 years ago

Bongo5

Instagram yafuta 18% ya akaunti feki, Justin Bieber, Kim Kardashian wapoteza followers zaidi ya milioni 4

Mtandao wa Instagram wiki hii umewapa majonzi baadhi ya watumiaji wake baada ya kufanya operation ya kufuta akaunti feki (spammy accounts ) na hivyo kuathiri namba ya followers kwa watu wengi. Asilimia 18.9 ya akaunti (fake) za Instagram zimefutwa kuanzia Jumatano hadi Alhamisi. “We’ve been deactivating spammy accounts from Instagram on an ongoing basis to […]

 

10 years ago

Vijimambo

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE

 Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael mwenye wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...

 

9 years ago

Bongo5

Ray C aomba msamaha baada ya video yake akiwa mtupu kupostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram

Ray new

Siku ya jana Nov.10 kuna video mbaya ya mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C akiwa mtupu akikata mauno zilipostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram (@rayc1982) na muda mfupi baadaye kufutwa.

Ray new

Akizungumza na U Heard ya Clouds Fm leo, Ray C amekiri kuwa ni kweli aliyeonekana kwenye video hiyo ni yeye.

“Ndio ni kweli video hiyo ilipostiwa kwenye akaunti yangu ila sio mimi niliyeipost.” Alisema Ray C.

Ray C aliongeza kuwa video hiyo alirekodiwa na mpenzi wake kwaajili ya matumizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani