Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKODI NGOMA KUMFUMANIA MKE!

Na Dustan Shekidele, Morogoro
AMA kweli dunia ina mambo na mambo yenyewe ndiyo haya! Katika hali ya kushangaza, mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Ally, mkazi wa Kata ya Mbuyuni Manispaa ya Morogoro amewashangaza wengi kufuatia uamuzi wake wa kukodi ngoma ya asili kwa lengo la kwenda kumfumania mkewe aliyejulikana kwa jina moja la Asha. Mwanadada aliyetambulika kwa jina la Asha baada ya kufumaniwa akisindikizwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKE AKODI KIBAO KATA KUMKOMESHA MCHEPUKO!

Gladness Mallya na Chande Abdallah
MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, mwishoni mwa wiki iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanawake kumvamia kazini kwake na kuanza kumsimanga kwa kitendo chake cha kuchepuka na mume wa mtu huku akipigiwa ngoma maarufu kama kibao kata. Wakimsimanga kwa staili ya kusasambua. Tukio hilo lilitokea Mei 23 mwaka huu maeneo ya Kimara Mwisho, ambapo awali...

 

10 years ago

GPL

MADHARA YA KUMUACHA MPENZI WAKO KWA KUMFUMANIA!

Mpenzi msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda. Hata hivyo, kuna ambayo kuyavumilia inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Hebu vuta picha, unaingia kwenye uhusiano na mtu ambaye moyo wako unaamini ni mpenzi sahihi, unampenda, unamheshimu na kumjali lakini siku moja unamfumania na mtu mwingine. Hivi kama ni wewe utaumia kwa kiwango gani? Ninavyojua maumivu yake...

 

10 years ago

GPL

MAKUBWA! AKODI KIBAO KATA KWENYE KUMSUTA SHOGA'KE

HAMIDA HASSAN
Wanawake wa mjini wanasema makubwa, madogo yana nafuu! Msemo huo unakwenda sambamba na tukio la hivi karibuni la mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Rukia Mabeseni mkazi wa Kigogo jijini Dar kukodi ngoma ya kibao kata kwa lengo la kwenda kumsuta shoga yake aitwaye mama Mariam. Rukia Mabeseni akimsuta shoga yake pamoja na wenzie. Ilikuwaje? Msikie Rukia Mabeseni
“Shost wangu, huyu mama Mariam huyu...

 

9 years ago

MillardAyo

Mwanamke alivyomalizia hasira kwenye gari baada ya kumfumania mpenzi wake Brazil.. (+Video)

Hii video imeenea sana mitandaoni lakini haina maelezo juu ya mazingira ya tukio lenyewe… nimefanikiwa kukipata chanzo cha habari kutoka Brazil wakiwa na stori yote ilivyokuwa mpaka mwanamke huyo kuamua kumalizia hasira zake kwenye gari. Mwanamke huyo hajatajwa jina, ila tukio limetokea Ceilandia jirani na Jiji la Brasilia, Brazil na ilikuwa December 5 2015… mwanamke ni […]

The post Mwanamke alivyomalizia hasira kwenye gari baada ya kumfumania mpenzi wake Brazil.. (+Video) appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake...

 

11 years ago

Mwananchi

Kila mwamba ngoma akivutia kwake, mwisho ngoma hupasuka

Vijana hawakati tamaa. Baada ya kuandika maneno yote yale wiki jana, huyu kijana ameona sasa njia ya kufuatilia ni kuandika kila wakati.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI


Na Bashir YAkub
Sura  ya  29  Sheria  ya ndoa  imeeleza  mambo  mengi . Baadhi  yanajulikana  na  baadhi  hayajulikani.  Wakati  mwingine  hata  baadhi  ya yanayojulikana   haijulikani  kama  yameruhusiwa  na  sheria  au  yanafanyika  kimazoea.  Na  hapa  ndipo  inapoibukia  migogoro mingi  ambayo  tunayoshuhudia  mahakamani  na  hata nje  ya  mahakama. Aidha  sheria  hii  imebeba  mambo  mengi  ya  talaka, matunzo  ya  watoto  na  mwanamke, jinai  za  unyanyasaji  wa  kijinsia, ndoa  haramu ...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?

NAMSHUKURU Mungu kunikutanisha tena na nyinyi marafiki katika uwanja wetu wa elimu ya uhusiano. Hujakosea kusoma makala haya maana hapa ndipo tunapojifunza masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulijifunza mada iliyokuwa inahusu nani anayestahili kuhongwa kati ya mwanaume na mwanamke. Bila shaka msomaji wangu ulipata elimu, kimsingi nilisema kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake, kutobweteka na...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU-2

HATUNA budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena katika uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa la uhusiano. Siku zote ukikubali kupokea na kufanyia kazi yale tunayopeana kila Jumamosi kupitia safu hii. Leo ni siku ya wapendanao (valentine‘s day). Ni vyema basi ukaitumia siku hii kutafakari na umpendaye. Kumpa zawadi, kutafuta sehemu tulivu na kujadili uhusiano wenu.Ifanye siku hii kuwa mwanga mzuri wa penzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani