Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alichoongea JK wakati akiwaaga mabalozi wa Tanzania

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za nje wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku tatu ulioanza, Dar es Salaam juzi. Picha na Anthony Siame.
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amewaaga rasmi mabalozi 36 wa Tanzania katika mataifa mbalimbali akiwaeleza kuwa hatakuwa madarakani baada ya Oktoba.Rais aliwaaga mabalozi hao jana wakati akifungua mkutano wa siku tatu utakaohitimishwa leo, ambao pamoja na mambo mengine, utajadili ‘Diplomasia ya Tanzania...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Vilio na majonzi Singida wakati MO akiwaaga wananchi wake!

IMG_7558

Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake kama ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena ubunge wa jimboni humo wakati wa mkutano mkubwa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya kuwatumikia wananchi wa Singida.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Modewjiblog team, Singida

MBUNGE  wa Singida mjini na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji  amesema hatagombea ubunge wa jimbo hilo tena baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA PILI ILIVYOKUWA KWA MABALOZI WAKATI WAKIPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mabalozi ,Waandishi pamoja na waongoza watalii wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembea kwa umbali mrefu kueleka Horombo.Safari ya kuelekea kituo cha Horombo ikaendelea kwa pamoja bila ya kuacahana.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

MABALOZI WA TANZANIA NJE YA NCHI WATEMBELEA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Pichani ni Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi Waliotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala.

 

10 years ago

Mwananchi

JK awaaga mabalozi wa Tanzania

>Rais Jakaya Kikwete amewaaga rasmi mabalozi 36 wa Tanzania katika mataifa mbalimbali akiwaeleza kuwa hatakuwa madarakani baada ya Oktoba.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge awatuhumu mabalozi wa Tanzania

MBUNGE wa Viti Maalum, Sabrina Sungura (Chadema) amesema mabalozi wa Tanzania nje ya nchi hawana taaluma ya Diplomasia ya uchumi na wamekuwa wakiteuliwa kisiasa na kwa heshima na hivyo kutowakilisha vyema katika masuala hayo.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWAHUSIA MABALOZI WA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali na Wakuu wa Idara/Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje. Wengine katika picha hiyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula. Waziri Membe aliwataka Mabalozi hao kuhakikisha kuwa mafanikio ya kidiplomasia ambayo Serikali ya awamu ya nne...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Membe awahusia mabalozi wa Tanzania

mfaic na mabalozi 007

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali na Wakuu wa Idara/Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje. Wengine katika picha hiyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula. Waziri Membe aliwataka Mabalozi hao kuhakikisha kuwa mafanikio ya kidiplomasia ambayo Serikali ya awamu ya nne...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mabalozi wa Tanzania unaofanyika katika hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unajadili kwa kina namna ya kutekeleza dira mpya ya Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ili kuendana na mabadiliko ya Uchumi na Diplomasia Duniani na kuleta tija nchini. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mabalozi wa Tanzania unaofanyika katika hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unajadili kwa kina namna ya kutekeleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani