Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alisafiri mpokee basi ajue ulimmisi shosti

shutterstock_321381809Shangingi mie nimerejea tena leo na mada mpya kabisa, unaweza kuwa umeshajifunza kwa kungwi wako lakini kwangu ndiyo kwanza nagusia, hivyo usinichoke, wewe soma taratibu nikujuze mambo muhimu kwani wanawake wengi tukishaolewa ndiyo tunaona tumefika.

Wapo walioolewa na wanaume wanaofanya kazi za kusafiri, pia wapo ambao waume zao hupendelea kusafiri pale anapopata likizo ofisini kwake, shosti, mume akisafiri anakuwa amepata upenyo wa kupumzika na kelele zako nyumbani na za watoto wenu, sasa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Msanii anayetaka kuwa wa kimataifa ni lazima ajue kiingereza — Diamond

Naseeb ‘Diamond Platnumz’ Abdul amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii yeyote anayetaka kuwa wa kimataifa, kwasababu ndio kiungo kikubwa na muhimu kati ya msanii na wadau muhimu wa nje. Diamond amesimulia jinsi ambavyo kiingereza kilimpa changamoto wakati alipoanza kulitafuta soko la kimataifa na kumsababisha afanye juhudi binafsi za kujifunza. “Mwaka jana nilipata […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Ndege huyu alisafiri vipi umbali mrefu zaidi duniani?

Kwa kutumia mbinu ya kumuwekea setilaiti ndege, wanasayansi wamemfuatilia ndege ambaye amepaa zaidi ya maili 7,500 (sawa na kilomita 12,000) kutoka Afrika Kusini hadi katika eneo la kuzalia lililopo Mongolia.

 

11 years ago

GPL

BETHIDEI YAWAGOMBANISHA DAVINA, SHOSTI’AKE

Stori: Na Hamida Hassan SHEREHE ya bethidei ya msanii wa filamu Vivian Minza ambaye ni shosti wa Halima Yahya ‘Davina’ iliyofanyika Mei 1, mwaka huu imedaiwa kuwa ndiyo chanzo cha kuvunja urafiki wa wawili hao. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Imeelezwa kuwa kutofautiana kwao ni Davina kutokwenda katika sherehe hiyo, ili kujiridhisha na madai hayo, paparazi wetu alimtafuta Davina,...

 

10 years ago

Michuzi

salamu kutoka kwa mama bishanga na shosti yake Julie kutoka Liberia

Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Bi Christina Innocent  Marolen, almaarufu kama "Mama Bishanga",  na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, Adern Court Alzheimer Home Care huko Ohio, Marekani, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na...

 

10 years ago

GPL

MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI

Kampala, Uganda Habari kutoka nyumba ya jirani nchini Uganda ikufikie kwamba aliyekuwa mume wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kunasa penzi la shosti wa kufa na kuzikana wa mkewe huyo aitwaye Stella Nankya, Ijumaa Wikienda limetonywa. Aliyekuwa mume wa Zari akiwa na mpenzi wake mpya ambaye ni shosti wa kufa na...

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani