Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyedaiwa kufa kwa ebola azikwa

Mwili wa Salome Richard (17) aliyefariki dunia katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza akidaiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa ebola ulizikwa juzi katika makaburi ya misheni mjini hapa chini ya uangalizi maalumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aliyehisiwa kufa kwa ebola azua mjadala Geita

Utata umegubika kifo cha Bertha Boniface (25) ambaye amefia Hospitali ya Wilaya Geita, kutokana na uvumi kuwa kifo chake kinatokana na ugonjwa wa ebola. Hata hivyo, madai hayo yamekanushwa na uongozi wa wilaya hiyo.

 

10 years ago

GPL

KIFO TATA! ALIYEDAIWA KUUAWA KWA KIPIGO CHA POLISI, UKWELI WAJULIKANA

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
KIFO cha mfanyabiashara aliyeshikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, Liberatus Damiani Temu (55) kilichodaiwa kilitokana na kipigo kutoka kwa askari wa kituo hicho sasa ukweli umejulikana. Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Liberatus Damiani Temu (55) anayedaiwa kufariki kiutata.
Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA

Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii Kigoma

MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma  kwa ugonjwa usiojulikana. 
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni  kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...

 

9 years ago

Mwananchi

Aliyedaiwa kujifanya daktari afariki dunia

Aliyekamatwa kwa tuhuma za kujifanya daktari Desemba 8, mwaka jana katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo (Moi), Dismas Macha amefariki dunia katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Komba azikwa kwa tingatinga

>Safari ya mwisho ya mbunge wa Mbinga Magharibi jana ilihitimishwa saa 9.25 alasiri wakati mwili wake ulipofunikwa na mfuniko mkubwa wa zege uliobebwa na gari maarufu kwa jina la “kijiko”.

 

11 years ago

Michuzi

UHAMIAJI WAKANUSHA JUU YA MHAMIAJI ALIYEDAIWA KUTOROSHWA

IMG-20140618-WA0007 Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba akikanusha vikali taarifa za  aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One,Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa IMG-20140618-WA0006 Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa   IMG-20140618-WA0008 Waandishi wa habari wakiwa kazini
Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba amekanusha vikali taarifa za  aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One,Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa na kueleza kuwa mtu huyo alipatiwa notice ya kuondoka nchi ambapo Juni 10 mwaka huu...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi kifo cha aliyedaiwa kupigwa na polisi wakwama

Uchunguzi wa mwili wa marehemu Liberatus Matemu(55), aliyefia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akidaiwa kupigwa na askari polisi wa Kituo cha Stakishari umeshindwa kufanyika jana baada ya kutokea utata wa nani anatakiwa kulipa gharama za matibabu Sh260,000.

 

9 years ago

GPL

GAIDI WA KISOMALI AUAWA, AZIKWA KWA SIRI

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa, Pwani MTU ambaye ametajwa kuwa ni gaidi mwenye asili ya Kisomali (jina lake halikupatikana) ambaye imeelezwa alijeruhiwa kwa risasi katika mapambano kati ya magaidi na askari wa Kituo cha Polisi Stakishari, Dar Julai 12, mwaka huu, amefariki dunia na kuzikwa kwa siri, Uwazi liko kazini.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1OsgsTp ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani