Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyemuua mtoto na kula ubongo afariki

Yanawezekana yakawa ni moja ya mauaji ya kutisha nchini, baada ya kijana mmoja kumuua mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi ya Marangu Hills Academy kisha kula ubongo wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HAUSIBOI ALIVYOKULA UBONGO WA MTOTO

Stori: Charles Ndagulla na Gladness Mallya YALE mauaji ya kutisha ya mtoto Francis Fortunatus Urassa (9) aliyeuawa kwa kucharangwa mapanga  kichwani hadi ubongo kutawanyika na kuliwa na mfanyakazi wa ndani ‘hausiboi’, Lawrence Flavian (22) ambaye naye alijikata uume pia akaula, akafa, bado yanatikisa nchi. Mfanyakazi wa ndani ‘hausiboi’, Lawrence Flavian (22) aliyemuua mtoto wa bosi wake na kumla...

 

10 years ago

GPL

MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!

Na Haruni Sachawa
NImaajabu! Mwanamke mmoja, Diana Dioniz  mkazi wa Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ameangua kilio cha kuomba msaada baada ya mtoto wake aliyezaliwa mwaka mmoja uliopita kugundulika kuwa hana ubongo wa nyuma (medulla oblongata), hali inayosababisha shingo kulegea na macho kutoona. Mtoto anayedaiwa kuzaliwa bila ya ubongo wa nyuma(medulla oblongata). Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake, Diana...

 

11 years ago

CloudsFM

Kijana amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’

Moshi. Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha 'kula ubongo' wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mji huu.

Kijana huyu aliyefahamika kwa jina la Lawrence Mramba, 20, alimshambulia mtoto huyo mwenye umri wa miaka 9 kwa panga wakati akienda shule mnamo saa 1 asubuhi Ijumaa, akampasua kichwa na kisha akaanza kutafuna ‘vipande vya ubongo wake.’

Mara baada ya kitendo hicho cha kushtusha, Mramba, aliyeonekana kuwa na matatizo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

YATISHA: Kijana afyatuka, amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’

Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha kula ubongo wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mjii huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Chanzo cha mtoto kutopenda kula?

Swali: Nina mtoto wa kiume wa mwaka mmoja na miezi mwili, tatizo lililojitokeza katika siku za karibuni ni msumbufu wakati namlisha chakula. Inaweza kuchukua saa nzima kulishwa chakula, huku akiwa na kawaida ya kujaza chakula mdomoni na kumeza taratibu. Dokta naomba msaada wako kwani naona mwanangu hali vizuri na uzito wa mwili unapungua.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaswa kwa kula maiti ya mtoto

Polisi nchini Pakistan wamenasa jamaa moja na wanamsaka mwenzake baada ya maiti kupatikana imekatwa

 

11 years ago

GPL

AKAMATWA KWA KULA MAITI YA MTOTO PAKISTAN

Tamaa ya mchuzi wa nyama ya binadamu yatongea kaka wawili. Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakila viungo vya wenzao Jamhuri ya Afrika ya Kati katika jazba ya kulipiza kisasi dhidi ya watu waliowadhulumu katika uongozi uliong'olewa mamlakani wa Seleka. Nchini Pakistan Polisi wamewakamata wanaume wawili kwa makosa ya kuiba maiti ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto aunguzwa vibaya kwa kula nyama

  Aliyemuunguza ni mama mkubwa siku ya krismasi.
Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ungindoni kata ya Mji Mwema Kigamboni, jijini Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), anadaiwa kuchomwa moto na mama yake mkubwa sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kutumia jalo.

Mtoto huyo alifanyiwa ukatili huo Desemba 25, mwaka jana akidaiwa kula vipande viwili vya nyama na hivyo kupewa adhabu na mama yake mkubwa, Rachel Bundala, kwa kuchomwa moto kwenye paja, goti na mikono yote miwili.

SHUHUDA...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI: MTOTO WANGU ALIUGUA CORONA NA KUPONA KWA KUJIFUKIZA,KULA MALIMAO

Haki miliki ya picha
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kwamba mwanawe aliambukizwa virusi vya corona lakini akapona baada ya kujitenga,kunywa malimao na kujifukiza.Rais Magufuli amezungumza wakati akitoa salamu kwa watanzania aliposhiriki ibada ya Jumapili katika kanisa la kilutheri Usharika wa Chato mkoani Geita.''Mtoto wangu alipata corona....mtoto wa kuzaa mimi , alijifungia kwenye chumba huko akaanza kujifukiza akanywa malimao na tangawizi, amepona yuko mzima anapiga push ups''...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani