Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANI ABDALLAH: Abuni mashine ya kutengeneza, kukausha mihuri 20 kwa dakika 10

MARA nyingi tumezoea vitu vizuri vinavyotumia teknolojia ya kisasa kuvumbuliwa na wataalamu kutoka Bara la Asia, Ulaya na Amerika, lakini nimefanikiwa kukutana na mvumbuzi wa Kitanzania aliyetengeneza mashine ya kutengeneza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

KIDT wapokea mashine ya kutengeneza kuni

TAASISI ya Mfuko wa Maendeleo ya Viwanda Kilimanjaro (KIDT) ya mjini Moshi, imepokea msaada wa mashine ya kisasa ya kutengeneza kuni kwa kutumia pumba za mpunga na mbao yenye thamani ya Sh milioni 100 ikiwa ni msaada kutoka Serikali ya Japan.

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu kutengeneza mashine ya kuchenjua dhahabu

 Mbunifu George Mkama  akiwaonesha mashine ambayo ameibuni kwaajili ya kuchenjulia dhahabu.
TANZANIA ni nchi ya nne kwa uchimbaji wa dhahabu Afrika huku ikitajwa kuwa na hazina kubwa ya madini mengine kama vile Almasi na Tanzanite.
Kwa miaka mingi, kabla sheria ya madini haijafanyiwa marekebisho bado, kwa mwaka 2017, Sekta hiyo ilikuwa inachangia chini ya asilimia tano kwenye pato la Taifa.
Kwa sasa mipango ya serikali ni kuifanya sekta ya madini  ichangie kwenye pato la Taifa kwa asilimia 10...

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu kutengeneza mashine inayoweza kupima magonjwa ya moyo

 Mbunifu wa mashine ya kupima magonjwa ya Moyo, Janeth Henry Tilya. Mbunifu Janeth Henry Tilya akionesha waandishi wa habari (hawako pichani)namna  mashine inavyofanya kazi.

Na COSTECHTAKWIMU za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa kila mwaka wastani wa watu milioni 58 hupoteza maisha duniani kote. Vifo vya watu milioni 41 sawa na asilimia 71 ya vifo vyote kwa mwaka husababishwa na magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo, kisukari, figo na shinikizo la damu.
Magonjwa ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BASHUNGWA AWAAGIZA TEMDO KUTENGENEZA MASHINE ZA KUKAMUA MIWA NA KUCHAKATA ZAO LA MKONGE.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ametoa rai kwa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo Tanzania (TEMDO) kuhakikisha wanawasaidia wajasiliamali wadogo na wa kati kubuni mashine za kutengeneza sukari pamoja na kuchakata katani ili kufungua fursa ya ajira na ongezeko la viwanda nchini.

Mhe. Bashungwa aliyasema hayo mkoani Arusha alipokuwa akizindua mashine 14 za kisasa zinazoendeshwa kwa mfumo wa kompyuta yaani CNC zikiwa na thamani ya shilingi milioni 600 zilizotolewa...

 

9 years ago

Mwananchi

Msomi abuni twisheni kwa njia ya mtandao

Kuongezeka idadi ya watumiaji wa huduma ya mtandao wa intaneti, kumeleta changamoto kubwa kwa wataalamu wa Tehama wakiwamo wale wa masuala ya elimu.

 

9 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KUKAUSHA NYETI ZA NG'OMBE CHAFUNGWA

Kiwanda bubu cha wachina kilichipo Tabata Bima kinachokausha nyeti za Ng'ombe kimimefungwa baada ya kukutwa wanaendesha shughuli zao katika mazingira machafu sana na pia bila kuwa na vibali vya kuendesha shughuli hiyo.


 

9 years ago

Mwananchi

Mihuri yatia doa upigaji kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imelazimika kutumia mihuri ya mwaka 2010 katika vituo mbalimbali vya Jimbo la Morogoro Mjini baada ya mihuri ya mwaka huu kuwa na matatizo.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara waaswa kuziwekea mihuri bidhaa zao

Wizara ya Viwanda na Biashara imewataka wafanyabiashara kuanza utaratibu wa kuweka mihuri katika bidhaa zao ili kudhibiti utengenezwaji wa bidhaa bandia ambazo hazina viwango vya kitaifa na kimataifa.

Hatua hiyo itasaidia kuimarisha soko la nje kutokana na bidhaa na malighafi za Tanzania kuwa na ubora unaokidhi mahitaji ya masoko mbalimbali duniani.

Sekta ya viwanda na biashara inatajwa kuwa sekta ambayo itaiwezesha Tanzania kuimarika kiuchumi kwa maendeleo ya taifa, Wizara ya Viwanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani