Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIDT wapokea mashine ya kutengeneza kuni

TAASISI ya Mfuko wa Maendeleo ya Viwanda Kilimanjaro (KIDT) ya mjini Moshi, imepokea msaada wa mashine ya kisasa ya kutengeneza kuni kwa kutumia pumba za mpunga na mbao yenye thamani ya Sh milioni 100 ikiwa ni msaada kutoka Serikali ya Japan.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu kutengeneza mashine ya kuchenjua dhahabu

 Mbunifu George Mkama  akiwaonesha mashine ambayo ameibuni kwaajili ya kuchenjulia dhahabu.
TANZANIA ni nchi ya nne kwa uchimbaji wa dhahabu Afrika huku ikitajwa kuwa na hazina kubwa ya madini mengine kama vile Almasi na Tanzanite.
Kwa miaka mingi, kabla sheria ya madini haijafanyiwa marekebisho bado, kwa mwaka 2017, Sekta hiyo ilikuwa inachangia chini ya asilimia tano kwenye pato la Taifa.
Kwa sasa mipango ya serikali ni kuifanya sekta ya madini  ichangie kwenye pato la Taifa kwa asilimia 10...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AMANI ABDALLAH: Abuni mashine ya kutengeneza, kukausha mihuri 20 kwa dakika 10

MARA nyingi tumezoea vitu vizuri vinavyotumia teknolojia ya kisasa kuvumbuliwa na wataalamu kutoka Bara la Asia, Ulaya na Amerika, lakini nimefanikiwa kukutana na mvumbuzi wa Kitanzania aliyetengeneza mashine ya kutengeneza...

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu kutengeneza mashine inayoweza kupima magonjwa ya moyo

 Mbunifu wa mashine ya kupima magonjwa ya Moyo, Janeth Henry Tilya. Mbunifu Janeth Henry Tilya akionesha waandishi wa habari (hawako pichani)namna  mashine inavyofanya kazi.

Na COSTECHTAKWIMU za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa kila mwaka wastani wa watu milioni 58 hupoteza maisha duniani kote. Vifo vya watu milioni 41 sawa na asilimia 71 ya vifo vyote kwa mwaka husababishwa na magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo, kisukari, figo na shinikizo la damu.
Magonjwa ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BASHUNGWA AWAAGIZA TEMDO KUTENGENEZA MASHINE ZA KUKAMUA MIWA NA KUCHAKATA ZAO LA MKONGE.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ametoa rai kwa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo Tanzania (TEMDO) kuhakikisha wanawasaidia wajasiliamali wadogo na wa kati kubuni mashine za kutengeneza sukari pamoja na kuchakata katani ili kufungua fursa ya ajira na ongezeko la viwanda nchini.

Mhe. Bashungwa aliyasema hayo mkoani Arusha alipokuwa akizindua mashine 14 za kisasa zinazoendeshwa kwa mfumo wa kompyuta yaani CNC zikiwa na thamani ya shilingi milioni 600 zilizotolewa...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’

jaji-lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.

 

10 years ago

Habarileo

Kijiji chaunganishwa na umeme wa kuni

WAKAZI wa kijiji cha Uchindile wilayani Ifakara mkoani Morogoro wamepata umeme unaozalishwa kwa kutumia kuni baada ya kuzinduliwa kwa mtambo wa 10kW uliotolewa na kampuni ya kimataifa ya Camco Clean Energy.

 

11 years ago

Mwananchi

Shule yajipanga kutumia gesi badala ya kuni

Shule ya Sekondari ya Galanos iliyopo jijini Tanga inakusudia kuondokana na matumizi ya kuni kwa ajili ya kupikia shuleni hapo na badala yake imepanga kunufaika na mradi wa ufugaji wa ng’ombe kwa kupata umeme wa biogas.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yafutia viwanda vibali vya kuni, magogo

Dk Binilith MahengeSERIKALI imesitisha vibali vyote vilivyotolewa kununua kuni na magogo kwa ajili ya nishati ya kuendesha viwanda mbalimbali nchini na badala yake imevitaka ndani ya muda wa miezi mitatu kuanzia jana viwe vinatumia teknolojia ya makaa ya mawe, umeme na gesi kwa ajili ya kuviendesha viwanda vyao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Tafiti kuondoa adha ya wanawake watumia kuni

massele+px

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mhe. Stephen Masele.

Na.  Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMA

Tafiti mbalimbali zimefanyika na zinaendelea kufanyika ili kupata majiko mbadala yasiyotumia nishati ya kuni hapa nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mhe. Stephen Masele wakati akijibu swali la msingi la Mhe. Amina Makilagi, mbunge wa Viti Maalum iliyehoji matumizi ya tafiti za kupata majiko mbadala

“tafiti hizi zinahusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani