Amcharanga mkono mumewe kwa wivu
Tanga,Polisi mkoani Tanga inamshikilia Gladness Daniel (18) mkazi wa Kijiji cha Kwekivu kata ya Kibirashi wilayani Kilindi mkoani Tanga kwa tuhuma za kumkata mkono mume wake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI
11 years ago
GPL
MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE
11 years ago
Vijimambo
NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

10 years ago
Habarileo11 Feb
Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka
11 years ago
Mwananchi20 May
Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi
10 years ago
Habarileo23 Dec
Aua kwa wivu wa mapenzi
MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.
11 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Auawa kwa wivu wa mapenzi
MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...
11 years ago
GPL
MREMBO ACHANWA NA VIWEMBE KWA WIVU