ANASWA AKIMTEKA MTOTO WA SHULE
![](http://api.ning.com:80/files/zMJxnqMJKq3*ojzU-UCbmE3jhIxmb9XGv5Sov-zs8XrGPgQLyDUOPUSns12*d7MwdEqdWFRmgGHf-FAmqYXy7Yjbb4pNRKDH/mtekaji.jpg)
Stori: Waandishi Wetu HALI bado tete! Polisi wa Kituo cha Magomeni jijini Dar, wamemkamata baba mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Omar baada ya kupokea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa raia wenye hasira kali akihusishwa na utekaji wa denti wa Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere iliyopo maeneo hayo. Denti wa Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere, Magomeni (mwenye sare za shule) aliyenusurika kutekwa na njemba inayotambuliwa kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 May
Anaswa akibanika mikono ya mtoto
WAKATI jamii ya Watanzania ikipigwa butwaa na ukatili wa kutisha aliofanyiwa mtoto wa miaka minne kwa kufungiwa ndani ya boksi kwa miaka mitatu mjini Morogoro, ukatili mwingine wa kutisha dhidi ya watoto umeripotiwa mkoani Kagera. Katika mkoa huo, mganga wa kienyeji ametiwa mbaroni, akituhumiwa kumuua kwa kumnyonga, kumkata mikono na kumzika katika nyumba yake.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjOo8rY0QAg0ZrDI6YKOQaQzAPnFkjYB4S8quPFiyuIA02a1ugThspuQiCgr-s9wNdFIGaQgmavFajezjNYmcrTb/YUYU.jpg?width=650)
ALIYETUHUMIWA MWIZI WA MTOTO ANASWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrxvShZGVHRZWF7xooRU2PLGfm6M-vhjroeLFQsARpVPZIwtJGmZKR3hDpEvL2En-fVHVFZRkTTDOJ7*gMbzUe4A/tego56.jpg?width=650)
ANKO ANASWA GESTI NA MTOTO WA DADAKE
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Kourtney Kardashian anaswa na mtoto wa P. Diddy
NEW YORK MAREKANI
DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amewashangaza watu baada ya mrembo huyo kuonekana kona mbalimbali akiwa na mtoto wa P. Diddy.
Awali mrembo huyo alionekana mara kwa mara akiwa na Justin Bieber mwenye umri wa miaka 22 na kuwaacha watu wakiwa na maswali mbalimbali ambayo yalikosa majibu, lakini wiki iliyopita mwanadada huyo ameonekana akiwa na Quincy Brown mwenye umri wa miaka 24.
Inasemekana kuwa mwanadada huyu mwenye miaka 36, anapenda kuwa na uhusiano na vijana wenye...
11 years ago
Habarileo19 Apr
Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa
OFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.
10 years ago
GPLMTOTO WA JACK CHAN ANASWA NA BANGI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2IX8ND1URTb5JFhEH9gd9MPmA6fDdTOhD1j15G64LOKdxA4DuP1I6rhX5hy*Q*9sHmvCfZjGBsyeqLWRgmukE7/MAMA.jpg?width=650)
MAMA ANASWA KWA KUMPA KAZI NZITO MTOTO
10 years ago
GPL19 Apr
VIDEO: HAUSIGELI ANASWA AKIMNYONYESHA MTOTO WA BOSI WAKE KENYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JkeqRMA64p83nAjXIwiJsB6JiFsGtLY1th6ifdoZJ2sD4eGOY4VkDxOvaXcOqtXAPP55eX5jHUbiXJut6o2*gcU/ngomanoma.jpg?width=650)
MTOTO WA RAIS ANASWA AKIPIMA 'NGOMA'