Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anaswa akibanika mikono ya mtoto

WAKATI jamii ya Watanzania ikipigwa butwaa na ukatili wa kutisha aliofanyiwa mtoto wa miaka minne kwa kufungiwa ndani ya boksi kwa miaka mitatu mjini Morogoro, ukatili mwingine wa kutisha dhidi ya watoto umeripotiwa mkoani Kagera. Katika mkoa huo, mganga wa kienyeji ametiwa mbaroni, akituhumiwa kumuua kwa kumnyonga, kumkata mikono na kumzika katika nyumba yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UKATILI ULIOJE! SHANGAZI AMCHOMA MIKONO MTOTO WAKE

Niukatili ulioje ambao amefanyiwa mtoto Dorine (12), denti wa darasa la nne Shule ya Msingi Makabe, Mbezi jijini Dar.Dorine anadaiwa kuunguzwa na maji ya moto yaliyochemshwa kwenye jiko la gesi na walezi wake wa karibu akiwemo shangazi yake aliyetajwa kwa jina moja la Scola ambaye alitiwa mbaroni na bibi yake ambaye haikujikana alipo.  Dorine akiwa hospitali baada ya kuchomwa mikono na shangazi yake. Katika tukio hilo la...

 

10 years ago

GPL

ANASWA AKIMTEKA MTOTO WA SHULE

Stori: Waandishi Wetu
HALI bado tete! Polisi wa Kituo cha Magomeni jijini Dar, wamemkamata baba mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Omar baada ya kupokea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa raia wenye hasira kali akihusishwa na utekaji wa denti wa Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere iliyopo maeneo hayo. Denti wa Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere, Magomeni (mwenye sare za shule) aliyenusurika kutekwa na njemba inayotambuliwa kwa...

 

10 years ago

GPL

ALIYETUHUMIWA MWIZI WA MTOTO ANASWA!

Dustan Shekidele, Moro SIKU chache baada ya gazeti hili kuripoti kuibiwa kwa mtoto lrene Daniel mwenye umri wa siku 34, mkazi wa Kilakala, mkoani hapa, habari njema ni kwamba mwizi wa mtoto huyo amenaswa laivu, Ijumaa Wikienda lina full stori. Huyu ndio mama aliyeibiwa mtoto wake Mei 8 mwaka huu huko mkoani Morogoro. Mtoto huyo aliibiwa kimafia Mei 8, mwaka huu wakati mama yake Martha Masawe akiwa kwenye foleni katika Kliniki ya...

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO AZALIWA AKIWA NA MIGUU NA MIKONO MINNE HUKO INDIA

HUKO nchini India mama mmoja kajifungua mtoto mwenye miguu minne na mikono minne huku akipokelewa na wenyeji kwa furaha kubwa na kuitwa ‘Mungu Mvulana’ Mtoto huyo amepewa jina la ‘Mungu Mvulana‘ kwa kuwa kuzaliwa na viungo kama hivyo si jambo la kawaida na huchukuliwa kama mfano wa Mungu kwa jamii za kihindu.Watu walisafiri kutoka kona mbalimbali za nchi hiyo kwenda kumshuhudia mtoto huyo wa maajabu, katika mji wa Kaskazini mwa nchi hiyo walijazana nje ya eneo la Hospitali hiyo wakiwa na...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA JACK CHAN ANASWA NA BANGI

Watuhumiwa Jaycee Chan (kushoto) and Kai Ko (kulia). Staa wa filamu wa siku nyingi, Jackie Chan. MTOTO wa staa wa filamu wa Hollywood, Jackie Chan aitwaye Jaycee Chan…

 

10 years ago

GPL

ANKO ANASWA GESTI NA MTOTO WA DADAKE

Gabriel Ng’osha Tap! Jamaa mmoja, mkazi wa Gongo la Mboto-Mzambarauni jijini Dar ambaye jina lake halikufahamika amewekewa mtego wa nguvu kisha kunaswa akiwa katika harakati za kutaka kujivinjari na binti wa miaka 14, ambaye ni mtoto wa dada yake wa tumbo moja (jina linahifadhiwa). Binti anayesadikiwa kurubuniwa na anko yake. MCHAPO KAMILI Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed MsangiOFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.

 

9 years ago

Mtanzania

Kourtney Kardashian anaswa na mtoto wa P. Diddy

Quincy-Combs-Kourtney-Kardashian-MainNEW YORK MAREKANI

 DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amewashangaza watu baada ya mrembo huyo kuonekana kona mbalimbali akiwa na mtoto wa P. Diddy.

Awali mrembo huyo alionekana mara kwa mara akiwa na Justin Bieber mwenye umri wa miaka 22 na kuwaacha watu wakiwa na maswali mbalimbali ambayo yalikosa majibu, lakini wiki iliyopita mwanadada huyo ameonekana akiwa na Quincy Brown mwenye umri wa miaka 24.

Inasemekana kuwa mwanadada huyu mwenye miaka 36, anapenda kuwa na uhusiano na vijana wenye...

 

11 years ago

GPL

MAMA ANASWA KWA KUMPA KAZI NZITO MTOTO

Chande Abdallah na Gladness Mallya
MAMA mmoja maarufu kwa jina la mama Mpare (pichani), mkazi wa Kimara King’ongo jijini Dar es Salaam amenaswa kwa kosa la kumfanyisha mwanaye kazi nzito zisizoendana na umri wake wa miaka 13 (picha ndogo). Mama mmoja maarufu kwa jina la mama Mpare (pichani), mkazi wa Kimara King’ongo jijini Dar es Salaam aliyenaswa kwa kosa la kumtumikisha mwanaye wa miaka 13 kazi nzito. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani