MTOTO AZALIWA AKIWA NA MIGUU NA MIKONO MINNE HUKO INDIA
HUKO nchini India mama mmoja kajifungua mtoto mwenye miguu minne na mikono minne huku akipokelewa na wenyeji kwa furaha kubwa na kuitwa ‘Mungu Mvulana’ Mtoto huyo amepewa jina la ‘Mungu Mvulana‘ kwa kuwa kuzaliwa na viungo kama hivyo si jambo la kawaida na huchukuliwa kama mfano wa Mungu kwa jamii za kihindu.Watu walisafiri kutoka kona mbalimbali za nchi hiyo kwenda kumshuhudia mtoto huyo wa maajabu, katika mji wa Kaskazini mwa nchi hiyo walijazana nje ya eneo la Hospitali hiyo wakiwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Feb
Mtoto albino aliyenyang'anywa mikononi mwa mamaye akutwa amekatwa miguu, mikono yote. Kiwiliwili chake chatelekezwa msituni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Joseph-konyo-19Feb2015.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Siku tatu baada ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Yohana Bahati (1), kutekwa na watu wasiofahamika, hatimaye mwili wake umepatikana ukiwa umekatwa miguu, mikono yote na kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika Kitongoji cha Mapinduzi, Kijiji cha Rumasa ndani ya hifadhi ya msitu wa Biharamulo Wilaya ya Chato, mkoani Geita.
Mtoto huyo alinyakuliwa Jumapili iliyopita nyumbani kwao saa 2:15 usiku akiwa amebebwa na mama yake mzazi, Esther...
9 years ago
StarTV16 Dec
Baba awaunguza watoto wake midomo, mikono na  miguu
Mkazi wa kijiji cha Msasa kata ya Busanda wilayani Geita Lucas Perto anashikiliwa kwenye ofisi ya Afisa mtendaji wa kata hiyo kwa tuhuma ya kuwaunguza midomo, mikono na miguu watoto wake akiwatuhumu kuiba mboga aina ya samaki kwa jirani yake.
Baada ya kutekeleza ukatili huo Desemba 6 mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 29 aliwaficha watoto wake hadi Desemba 12 walipogunduliwa na wasamaria wema wakiwa wameanza kutoa harufu mbaya.
Wahudumu wa Afya ya msingi ya jamii ndiyo waliookoa maisha ya watoto...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL0WXyvS3L50iyFEtvKExRA-sMlHQ1QlkUD1GX01BYL10rpwisV2b1IwTpkJEH*J0rpQjTb5ypXN9EnjVBeRDAEv/gonjwalaajabu.jpg?width=650)
KISA GONJWA LA AJABU, ATEMBEA KWA MIKONO NA MIGUU
5 years ago
BBCSwahili18 Feb
Pamoja na kutokuwa na miguu na mikono, Tio anayafurahia maisha yake
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mtoto wa ajabu azaliwa Dar
![Hospitali ya Mwananyamala](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mwananyamala-hospitali.jpg)
Hospitali ya Mwananyamala
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.
Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.
MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.
Inadaiwa mtoto...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0KloqqPy0yP115sLCv4CmO4rg4JWSJxIdBn05il0XN18TfaFu1jMlzmEI8OAW5bJsTQDG9J*BHkeFE6ENB-jY09/11.gif?width=650)
MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Mtoto azaliwa bila pua
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Mtoto mkubwa azaliwa Marekani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvM-bQLsvnMPFFDsnGOB4VsuDOQBltLDhbxA908miD1yiIPla7ImqZZX87JcRa83rr3NYuqEUO479Tl6-JW3HN4B/mtoto.jpg?width=650)
MTOTO MKUBWA AZALIWA NCHINI MAREKANI