Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba awaunguza watoto wake midomo, mikono na  miguu

Mkazi wa kijiji cha Msasa kata ya Busanda wilayani Geita Lucas Perto anashikiliwa kwenye ofisi ya Afisa mtendaji wa kata hiyo kwa tuhuma ya kuwaunguza midomo, mikono na miguu watoto wake akiwatuhumu kuiba mboga aina ya samaki kwa jirani yake.

Baada ya kutekeleza ukatili huo Desemba 6 mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 29 aliwaficha watoto wake hadi Desemba 12 walipogunduliwa na wasamaria wema wakiwa wameanza kutoa harufu mbaya.

Wahudumu wa Afya ya msingi ya jamii ndiyo waliookoa maisha ya watoto...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake

Mkazi mmoja wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani amekamatwa na polisi akituhumiwa kuwabaka watoto wake wawili wadogo kwa zaidi ya miaka miwili sasa.

 

11 years ago

GPL

KISA GONJWA LA AJABU, ATEMBEA KWA MIKONO NA MIGUU

Na Gabriel Ng’osha
Mzee mwenye miaka 72, Petro Bulimi  mkazi wa Kijiji cha Itwimila A, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza anatembea kwa kutumia mikono na miguu kufuatia kusumbuliwa na tatizo la uvimbe katikati ya uti wa mgongo. Mzee Petro Bulimi akiwa nyumbani kwake. 
Ugonjwa huo pia umesababisha kuibukwa kwa magonjwa mengine kibao yakiwemo ya miguu kuchezacheza  kama kuna golori ndani yake zinazozunguka....

 

5 years ago

BBCSwahili

Pamoja na kutokuwa na miguu na mikono, Tio anayafurahia maisha yake

Tio ni kijana mdogo kutoka Indonesia, anapenda sana kucheza michezo ya video na kujipatia taarifa za ulimwengu kwa simu yake ya mkononi.

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO AZALIWA AKIWA NA MIGUU NA MIKONO MINNE HUKO INDIA

HUKO nchini India mama mmoja kajifungua mtoto mwenye miguu minne na mikono minne huku akipokelewa na wenyeji kwa furaha kubwa na kuitwa ‘Mungu Mvulana’ Mtoto huyo amepewa jina la ‘Mungu Mvulana‘ kwa kuwa kuzaliwa na viungo kama hivyo si jambo la kawaida na huchukuliwa kama mfano wa Mungu kwa jamii za kihindu.Watu walisafiri kutoka kona mbalimbali za nchi hiyo kwenda kumshuhudia mtoto huyo wa maajabu, katika mji wa Kaskazini mwa nchi hiyo walijazana nje ya eneo la Hospitali hiyo wakiwa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Waridi wa BBC: Miriam Mawira alizaliwa bila mikono, hutumia miguu yake kufanya kazi zake

Miriam Mawira : alizaliwa bila mikono, hutumia miguu yake kufanikisha kazi zake, changamoto hiyo si kikwazo kwake

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto albino aliyenyang'anywa mikononi mwa mamaye akutwa amekatwa miguu, mikono yote. Kiwiliwili chake chatelekezwa msituni


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.

Siku tatu baada ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Yohana Bahati (1), kutekwa na watu wasiofahamika, hatimaye mwili wake umepatikana ukiwa umekatwa miguu, mikono yote na kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika Kitongoji cha Mapinduzi, Kijiji cha Rumasa ndani ya hifadhi ya msitu wa Biharamulo Wilaya ya Chato, mkoani Geita.

Mtoto huyo alinyakuliwa Jumapili iliyopita nyumbani kwao saa 2:15 usiku akiwa amebebwa na mama yake mzazi, Esther...

 

11 years ago

Habarileo

Maji yenye kemikali yababua watoto miguu

Dk Binilith MahengeWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amekataa kuwapa cheti cha utunzaji wa mazingira kiwanda cha nguo cha Nida kilichopo Tabata katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.

 

9 years ago

GPL

UKATILI ULIOJE! SHANGAZI AMCHOMA MIKONO MTOTO WAKE

Niukatili ulioje ambao amefanyiwa mtoto Dorine (12), denti wa darasa la nne Shule ya Msingi Makabe, Mbezi jijini Dar.Dorine anadaiwa kuunguzwa na maji ya moto yaliyochemshwa kwenye jiko la gesi na walezi wake wa karibu akiwemo shangazi yake aliyetajwa kwa jina moja la Scola ambaye alitiwa mbaroni na bibi yake ambaye haikujikana alipo.  Dorine akiwa hospitali baada ya kuchomwa mikono na shangazi yake. Katika tukio hilo la...

 

10 years ago

Michuzi

BANK OF AFRICA-TAZANIA, YAZINDUA UCHANGIAJI MATIBABU KWA WATOTO WALIOPINDA MIGUU

NA FRANCIS DANDE
BANK OF AFRICA-TANZANIA, leo imezindua rasmi kampeni ya uchangiaji wa dola 100,000 ili kuisaidia Hospitali ya CCBRT katika mpango wake wa kufanikisha matibabu ya watoto 400 wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kupinda miguu.
Msaada huu kwa Hospitali ya CCBRT utawezesha watoto kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania kupata matibabu bure au kwa gharama nafuu ili kuwawezesha kutembea sawa sawa.
Ugonjwa wa kupinda miguu unaweza kuathiri mguu mmoja  au yote miwili. Miguu iliyopinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani