Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa…
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambaye ametajwa kukaimu nafasi ya Mourihno na tayari amesafiri kwa ndege leo kwenda kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu […]
The post Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa… appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6pEoU2cJ1I0*xH4AZuFrGkKpMD8PBUMovJBHuzRqtxat4RsuWcENGsbGSf6gWnPQ8yD5hTzcCDHiF2wnDzLwvlO/url.jpg?width=650)
JOSE MOURINHO HAKUNAGA
9 years ago
Bongo515 Oct
FA yampa adhabu Jose Mourinho
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Kauli yamponza Jose Mourinho
LONDON, ENGLAND
CHAMA cha Soka England (FA), kimemfungia mchezo mmoja kuingia uwanjani na faini ya pauni 50,000 kocha wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho.
Adhabu hiyo imekuja baada ya kocha huyo kukutwa na kosa la kuvunja kanuni za FA inayohusiana na maelezo yake ya mwisho wa mchezo walipofungwa na Southampton mabao 3-1.
Mourinho alikutwa na kosa la kumbwatukia mwamuzi wa mchezo huo, akidai kuwa aliwaua baada ya kuwa na ‘hofu ya kutoa maamuzi kwa Chelsea’.
FA imesema kuwa ina uwezo wa...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-BWmxv8oEHP8/VdIuRZ6SjrI/AAAAAAAADUg/VRpiN8cojJg/s72-c/_84922311_josemourinho.jpg)
JOSE MOURINHO'S WORSE WEEK EVER
![](http://3.bp.blogspot.com/-BWmxv8oEHP8/VdIuRZ6SjrI/AAAAAAAADUg/VRpiN8cojJg/s1600/_84922311_josemourinho.jpg)
Chelsea manager Jose Mourinho's week from hell concluded in a fitting manner as he suffered the misery of watching his Premier League champions comprehensively dismantled by Manchester City.The start of Chelsea's title defence has been overshadowed by the behind-the-scenes manoeuvring that saw Mourinho remove medical staff Eva Carneiro and Jon Fearn from their touchline roles after infuriating the manager by entering the Stamford Bridge playing surface to attend to Eden Hazard in the 2-2...
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Jose Mourinho afutwa kazi Chelsea
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Jose Mourinho ataka kuifundisha Arsenal
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amesema hana mpango wa kuondoka jiji la London na kama akiondoka katika klabu hiyo basi atajiunga na klabu ya Arsenal ya jijini humo.
Kocha huyo bado ana imani ya kuendelea kuifundisha Chelsea kwa muda mrefu, japokuwa klabu hiyo imeanza vibaya katika michuano ya Ligi Kuu nchini England, hata hivyo, anaamini kuwa anaweza kuwa kocha wa Arsenal baada ya Arsene Wenger kuondoka.
“Ngoja niweke wazi, ipo siku nitakuja kuondoka Chelsea na kama...
9 years ago
Bongo517 Dec
Kocha Jose Mourinho atimuliwa Chelsea
![José Mourinho](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Jos%C3%A9-Mourinho-300x194.jpg)
Chelsea imemtimua meneja wake Jose Mourinho.
Kocha huyo raia wa Ureno mwenye miaka 52, alikuwa akiifundisha Chelsea kwa awamu ya pili kuanzia June 2013.
Chelsea imekuwa na msimu mbaya zaidi kwa kufungwa mechi 16 hadi sasa.
Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos ni majina yanayotajwa zaidi kushika nafasi yake.
Akiwa na Chelsea, kocha huyo alishinda ubingwa wa ligi kuu ya England mara tatu, mbili katika awamu yake ya kwanza kati ya mwaka 2004 na 2007.
Jiunge na...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Arsene Wenger amjibu Jose Mourinho
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kumshambulia Arsene Wenger kwamba ni kocha ambaye yupo katika wakati mgumu wa kufukuzwa na klabu yake, naye Wenger amemjibu kocha huyo kwa kusema anajivunia kuwa na jina kubwa katika chama cha soka nchini England.
Hata hivyo, Mourinho alimshambulia kocha huyo kwa kudai kuwa anapenda kuwalalamikia waamuzi wakati anapopoteza mchezo.
Wenger alionekana kumtupia lawama mwamuzi Mike Dean ambaye alichezesha mchezo wa wapinzani hao wiki moja...