Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anayekipiga England ‘azuiwa’ Taifa Stars

130803-adi-yussuf-43169-1300833_478x359NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa timu ya Mansfield Town ya England, umemzuia mshambuliaji wake, Adi Yussuf, kujiunga na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwa kile ilichodai ya kuwa nyota huyo ni majeruhi.

Yussuf ni miongoni mwa nyota 29 walioitwa kwenye kikosi cha Stars chini ya Kocha Charles Mkwasa, kitakachojiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 Gabon dhidi ya Nigeria ‘Super Eagles’ Septemba 5, mwaka huu.

Klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Mke wa Pluijm atua Dar, azuiwa kwenda Taifa

Kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Mwandishi Wetu Dar es Salaam
MKE wa Kocha Mkuu wa Yanga ambaye ni raia wa Ghana, amewasili jijini Dar es Salaam kuungana na mumewe. Mwanamama huyo ametua nchini juzi usiku na kuungana na mumewe ambaye sasa ana jukumu la kuhakikisha kikosi chake kinashinda mechi ya Jumapili dhidi ya watani wao, Simba.
Pluijm amethibitisha ujio wa mkewe nchini ambaye amezaa naye watoto wawili, lakini...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Ligi Kuu England kuivaa Stars

 Kiungo nyota wa klabu ya West Bromwich inayoahiriki Ligi Kuu England, Stephan Sessegnon ataiongoza Benin kuikabili Taifa Stars, Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars, Harambee Stars hoi

Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo

 

10 years ago

BBCSwahili

Berahino atajwa timu ya taifa England

Mshambuliaji wa West Bromwich Albion Saido Berahino mwenye asili ya Burundi ametajwa kwenye Kikosi cha timu ya Taifa ya England

 

10 years ago

GPL

MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA ENGLAND AKAMATWA NA POLISI

Mchezaji wa timu ya taifa ya England na timu ya Sunderland, Adam Johnson. Mchezaji wa timu ya taifa ya England na timu ya Sunderland, Adam Johnson amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na msichana mwenye umri wa miaka 15. Polisi katika eneo la Durham wamesema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amekamatwa mapema wiki hii kwa tuhuma za kufanya mapenzi na binti mwenye umri wa chini ya miaka 16, na amebaki chini ya...

 

11 years ago

GPL

WACHEZAJI WALIOITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA

Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde.
Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao:
Goalkeepers: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Defenders: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani