Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Berahino atajwa timu ya taifa England

Mshambuliaji wa West Bromwich Albion Saido Berahino mwenye asili ya Burundi ametajwa kwenye Kikosi cha timu ya Taifa ya England

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ALBION SAIDO BERAHINO AITWA TIMU YA TAIFA UINGEREZA

Mshambuliaji wa West Bromwich Albion Saido Berahino mwenye asili ya Burundi ametajwa kwenye timu ya Taifa ya England.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anatarajiwa kuonekana kwenye orodha ya majina ya timu ya England katika mechi ya kimataifa ya kuwania kufuzu fainali za Euro mwaka 2016 kati England Slovenia mechi itakayopigwa Novemba 15 mwaka huu.

Berahino ambaye alizaliwa nchini Burundi tayari ameshatia wavuni magoli saba katika mechi 10 za ligi kuu ya England ambayo timu yake West...

 

10 years ago

GPL

MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA ENGLAND AKAMATWA NA POLISI

Mchezaji wa timu ya taifa ya England na timu ya Sunderland, Adam Johnson. Mchezaji wa timu ya taifa ya England na timu ya Sunderland, Adam Johnson amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na msichana mwenye umri wa miaka 15. Polisi katika eneo la Durham wamesema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amekamatwa mapema wiki hii kwa tuhuma za kufanya mapenzi na binti mwenye umri wa chini ya miaka 16, na amebaki chini ya...

 

10 years ago

BBC

WBA's Berahino gets England call-up

Burundi-born Saido Berahino is included in the England squad to play Slovenia in a Euro 2016 qualifier on 15 November.

 

11 years ago

GPL

WACHEZAJI WALIOITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA

Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde.
Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao:
Goalkeepers: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Defenders: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester...

 

10 years ago

Bongo5

Timu ya taifa ya England yaweka rekodi mechi za kufuzu Euro 2016

Timu ya taifa ya England imemaliza mechi yake ya mwisho ya hatua ya kufuzu michuano ya kombe la Euro 2016 kwa kuingia katika rekodi ya timu zilizomaliza hatua hiyo kwa mafanikio zaidi. England ilipata ushindi huo kupitia wachezaji Ross Barkley dakika ya 29, Harry Kane alifunga la pili huku Alex-Oxlade Chamberlain akipigilia msumari wa mwisho […]

 

10 years ago

Bongo5

England wafuzu michuano ya Euro 2016 baada ya kuifunga timu ya taifa ya Estonia

Timu ya taifa ya England jana ilipata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Estonia katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Ulaya mechi ilichezwa katika uwanja wa Wembley, England. Magoli yalifungwa na Theo Walcott goli la kwanza dakika ya 45 kipindi cha kwanza akipokea pasi kutoka kwa Ross Barkley na Raheem Sterling […]

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia  Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa. Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi ya England timu 20 kushuka dimbani

Jumla ya timu 20 zinazoshiriki ligi ya England zinatarajiwa kushuka dimbani mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA CHESS YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA NCHINI NORWAY

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (kulia), akimakabidhi Bendera ya Taifa, mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Chess, Hemed Mlawa (wa pili kushoto), Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kuondoka kesho kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa nchini Norway. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Spicenet, Vinay Choundry ambaye ni muasisi wa mchezo huo hapa nchini, kushoto ni mchezaji Emmanuel Mwaisumbe. Safari hiyo imedhaminiwa na Tanzania Chess...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani