Andy Cole awapa nafasi U-17 wa Tanzania
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Andy Cole amewaasa vijana walio chini ya miaka 17, kuongeza bidii ili kutimiza ndoto zao za kucheza kwenye timu kubwa duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mWq-Pv8RWzQfMNnJeuYCaICQCfZoo876JK63*kUvCs7DYDhCRKdwF*s*pXVlJMXSHqgzaY5TD9Q016O8r9UuhzByLzS1tiVS/PIX1.jpg?width=650)
AIRTEL YAMPOKEA ANDY COLE
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole akiwa sehemu ya VIP kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku mara tu baada ya kuwasili kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mbando (kulia) akimkaribisha Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole (kushoto) mara tu baada ya kuwasili nchini kwa mwaaliko...
11 years ago
GPLANDY COLE NDANI YA COCO BEACH LEO
Muonekano wa jukwaa kwa ajili ya kuangalia mechi kati ya Manchester United na Aston Villa katika viwanja vya Coco Beach leo. Waliopo stejini ni washereheshaji Adamu John na Khamisi Saidi. Droo ya moja kwa moja (live) ya kuwatafuta na kuwatangaza washindi wa tiketi mbili za kwenda Old Trafford itachezwa leo.…
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Andy Cole wa Manchester United kutua Dar kesho
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Andy Cole anatarajia kutua jijini Dar es Salaam kesho, imethibishwa.
5 years ago
MichuziMBUNGE YOSEPHER AWAPA MBINU WANAWAKE WANAOTAKA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI MKUU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia Chama hicho Yosepher Komba akiwa na...
9 years ago
Bongo523 Sep
Picha: J-Cole amekuja kufanya nini Tanzania?
Rapper wa Marekani, J-Cole ameonekana kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro Jumatano hii. J-Cole akiwa KIA Haijulikani amekuja kufanya nini lakini huenda ikawa ni safari binafsi. Mtu mmoja aitwaye Keirocker amepost picha akiwa na rapper huyo kwenye Instagram na kuandika: Wow Just ran into the rapper J COLE at the Kilimanjaro Airport I […]
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FZjUBIw6Q5Y/VfbH7s170fI/AAAAAAAH4v8/HrZlqsrgK0k/s72-c/aitv.png)
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Tanzania yashika nafasi ya 100 Fifa
Wakati mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukianza mjini Morogoro kesho, Tanzania imepanda kwenye ubora kulingana na viwango vipya vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nafasi ya Tanzania imeonekana msiba wa Mandela
>Matukio mbalimbali yaliyotokea Jumapili kwenye mazishi ya Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela yamenikumbusha yaliyotokea katika sherehe za miaka 50 tangu kuanzishwa OAU, sasa Umoja wa Afrika (AU).
10 years ago
Michuzi20 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania