Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ankal akila quality time na bintiye

Ratiba inaporuhusu kupata kamuda ka kupumua Ankal hupiga makubazi na kula quality time na familia yake. Hapo ni ufukweni akicheza na bintiye Sellah katika kusherehekea sikukuu ya Iddi.Wewe je? Unakumbuka kuwa na familia wakati wa mapumziko? Ni muhimu, usisahau hilo....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Birthday Wishes to Ankal from Mrs Ankal

Happy birthday to you my better half, my friend, perfect father/daddy to our kids‎. Wish you happiness, wish you success n contentment in your life. I wish to be there with you but " kazi hizi" I am always thankful to God for you and for every opportunity and everything he has favoured us. His blessings are ever in abundant/ abundance. I love n cherish you and will forever do so, in a very special way. Happy birthday.
Mrs Ankal.

 

10 years ago

GPL

PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO

Stori: Musa Mateja
PICHA ya staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ inayomuonesha akila mishikika uswahilini imezua gumzo la aina yake mitandaoni. Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo...

 

10 years ago

GPL

JUMA CHIKOKA LAIVU AKILA KITIMOTO

Stori:MUSA MATEJA MSANII wa kitambo ndani ya Bongo Movies, Juma Chikoka, amenaswa akila nyama ya nguruwe (kitimoto) huku ikiaminika kuwa ana imani isiyotumia mnyama huyo. Msanii kitambo ndani ya Bongo Movies, Juma Chikoka akijimegea kipande cha nyama (kitimoto). Tukio hilo lilijiri hivi karibuni maeneo ya Sinza jijini Dar ambapo msanii huyo alijumuika na marafiki zake pasipo kujua paparazi wa kujitegemea alikuwa akifanya kazi...

 

10 years ago

GPL

BABA ASAKWA UBAKAJI WA BINTIYE

Bw. Salum anayesakwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumpachika mimba binti yake wa kambo.
Waandishi wetu
MUNGU wangu! Mwanaume mmoja mkazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Salum, anasakwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumpa ujauzito bintiye wa kambo (jina limehifadhiwa). Binti anayedaiwa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Akamatwa kwa kutomsomesha bintiye

MKAZI wa Kijiji cha Mponvu,  Kata ya  Mtakuja wilayani Geita, Samweli Bupina (40)  amekamatwa na polisi kwa kosa la kukataa kumsomesha binti yake  Mengi Samweli (17). Bupina anadaiwa baada ya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mbaroni kwa kumbaka bintiye



NA DOROTHY CHAGULA, MUSOMA MKAZI wa Musoma mkoani Mara, Emmanuel  Lucas, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake wa miaka 19 (jina linahifadhiwa) na kumwambukiza ukimwi. Lucas (52), anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kuanzia mwaka 2007 na  kumsababishia binti yake kupata maambukizi ya ukimwi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Paul Kasabago, alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akimbaka binti yake huyo mara kwa mara hadi kupata ujauzito, ambapo mtoto...

 

10 years ago

GPL

ASHITAKIWA KWA KUMTIA MIMBA BINTIYE

MAHAKAMA moja mjini Bungoma nchini Kenya imemshtaki ofisa mmoja wa wadi ya Bukembe kwa kulala na mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka 14 kwa zaidi ya miaka miwili baada ya mkewe kufariki mwaka 2013. Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya, mwathiriwa ambaye ni mjamzito wa miezi minne amesema kuwa mshukiwa huyo ambaye ni babaake amekuwa akimlazimisha kufanya mapenzi naye kila usiku na kumuonya kwamba angemdhuru iwapo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afungwa miaka 8 kwa kumuoza bintiye

Raia mmoja wa Australia ambaye alipanga ndoa ya kiislamu kumuoza bintiye mdogo mwenye umri wa miaka 12 amehukumiwa miaka minane jela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani