Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anna Mghirwa mgombea urais mwanamke TZ

Anna Mghirwa ambaye mgombea urais pekee mwanamke katika uchaguzi wa mwaka huu nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mgombea Urais Mwanamke pekee kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Anna MGhwira apiga kura Singida

 Mgombea Urais Mwanamke pekee kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Anna MGhwira akiangalia jina lake wakati alipokwenda kupiga kura katika kituo cha Kibaoni mjini SingidaMgombea Urais Mwanamke pekee kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Anna MGhwira akiangalia jina lake wakati alipokwenda kupiga kura katika kituo cha Kibaoni mjini Singida

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unamfahamu Anna Mghirwa ?

Je unamfahamu Anna Mghirwa ? tazama mahojiano yake na Zuhura Yunus wa BBC Dira ya Dunia TV hapa

 

9 years ago

BBCSwahili

Wasifu wa Bi Anna Mghirwa

Mghirwa ndiye mgombea pekee wa kike katika kinyang'anyiro cha urais Tanzania mwaka 2015

 

9 years ago

Mwananchi

Anna Mghwira mwanamke pekee aliyejitosa urais

ACT-Wazalendo; Taifa kwanza leo na kesho au mabadiliko na uwazi; chukua hatua, ni salamu ilinayotumiwa na mgombea urais wa chama hicho kipya kwenye anga za siasa, Anna Mghwira. 

 

9 years ago

Mwananchi

Anna Mghwira, mwanamke pekee aliyejitosa kuwania urais

Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT – Wazalendo.Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida Mjini.

 

9 years ago

Mwananchi

Anna Mghwira mgombea urais ACT-Wazalendo

Hatimaye Chama cha ACT – Wazalendo kimempitisha mwenyekiti wake, Anna Mghwira (56) kuwania urais baada ya mshauri wake, Profesa Kitila Mkumbo aliyekuwa amechukuliwa fomu kukataa kubeba jukumu hilo.

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE MGOMBEA URAIS ANNA MGHWIRA KUPITIA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO

Anna Mghwira ni Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kipya cha siasa, ACT – Wazalendo. Alizaliwa Januari 23, 1959 katika hospitali ya Mkoa wa Singida, Kata ya Mungumaji, Kitongoji cha Irao Manispaa ya Singida Mjini. (Januari mwaka huu alitimiza miaka 56). Baba mzazi wa Anna alikuwa diwani na kiongozi wa Tanu kabla ya CCM hadi mwaka 1985, mama yake alijishughulisha na kilimo na ufugaji na wazazi hawa kwa ujumla walipata watoto tisa, akiwamo Anna.

Mgwira alianza safari ya kielimu katika Shule ya...

 

10 years ago

Mwananchi

APPT Maendeleo: Tutamsimamisha mgombea mwanamke urais 2015

>Mwenyekiti wa Chama cha APPT Maendeleo, Peter Kuga Mziray amesema chama chake kitamsimamisha mwanamke kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani