Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANORLD SCHWARZENEGGER; MWIGIZAJI, MWANASIASA NA VIPAJI LUKUKI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVANAFAHAMIKA kwa jina la Anorld Alois Schwarzenegger "Styrian Oak" au "Australian Oak" amezaliwa Julai 30,1947 akiwa na uraia wa Australia na Marekani kilichompa umaarufu zaidi ni pamoja na uigizaji, siasa akihudumu nafasi ya gavana wa 38 katika jimbo la Colifornia kutoka mwaka 2003 hadi 2011, mwanamazingira na pia ni mtengenezaji wa filamu, mtunzi, mfanyabiashara na mtaalamu wa kujenga mwili kwa mazoezi.
Anorld ni kijana na askari (Gudtav Schwarzenegger) ambaye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Temambele: Mwalimu mwenye vipaji lukuki

“Kama ningeishi mahali kama Dar es Salaam, bila shaka ningekuwa mbali kimuziki.” Hii ni kauli ya mwalimu Temambele Abdu Temambele, mkufunzi wa muziki, mtunzi na mpigaji wa ala mbalimbali aliyeko Chuo cha Ualimu, Tarime, mkoani Mara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SARAH MVUNGI: Hazina ya vipaji iliyopitia majaribu lukuki

SARAH Mvungi ni miongoni mwa wasanii waliopitia changamoto mbalimbali ambazo zilimsababisha apitie ujuzi wa taaluma tofauti kabla ya kuibukia katika uigizaji. Msanii huyo mwenye vipaji lukuki, amepitia mengi katika maisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Kigwangalla, mwanasiasa aliyepikwa na mwanasiasa

Kwa kipindi cha miaka mitano, jina la Dk Hamis Kigwangalla limekuwa likivuma katika medani za siasa nchini, hasa baada ya mwaka 2010 kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Nzega.

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya filamu ya Arnold Schwarzenegger ‘Terminator Genisys’

Arnold Schwarzenegger anarejea na ‘Terminator Genisys’. Filamu hiyo itatoka mwakani. Hii ni trailer yake rasmi ya kwanza.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mimi si mwanasiasa — Nkya

MTETEZI wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya, amesema yeye si mwanachama wa chama chochote cha siasa bali amekuwa akizungumza ukweli kuhusiana na Taifa. Hatua hiyo imetokana na watu wengi kumhusisha...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanasiasa maarufu akamatwa N. Ireland

Polisi huko Ireland Kazkazini wamemkamata mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Sinn Fein,Gerry Adams kwa mauaji .

 

11 years ago

BBCSwahili

Mke wa mwanasiasa atekwa Cameroon

Mke wa naibu waziri mkuu wa Cameroon atekwa nyara na wapiganaji wa Nigeria kaskazini mwa nchi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani