ANTI EZEKIEL NI MREMBO
Staa wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel 'Gwantwa' ameachia picha zake kupitia account yake ya Instagram akiwa katika sura ya tabasamu.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Mrembo Rita
Jamani eee! Barua zenu zinachosha. Hamjui kwamba natakiwa kusoma Katiba hiyo ya kujipendekeza kwa makundi mbalimbali ili ipendwe badala ya kupondwa kwa kuondoa mambo ya msingi kuhusu uwajibikaji na muundo wa taifa. Ndiyo.
10 years ago
GPLMREMBO AJITAPA
Imelda Mtema
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Tunda Sabasita amejitapa kumpora bwana muuza nyago mwenzie, Agness Gerald ‘Masogange’ na kusababisha wawili hao kuingia kwenye bifu zito.Sosi aliye karibu na wauza nyago hao alisema kuwa bifu walilonalo linamhusu bwana aliyetajwa kwa jina moja la Said ambaye makazi yake ni nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’. Muuza nyago kwenye video za wasanii...
11 years ago
GPLMREMBO NUSURA ABAKWE
Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. Stori:Â Issa Mnally na Richard Bukos
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.…
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Nani kuwa mrembo wa 20?
Mrembo wa 20 wa Taifa (Miss Tanzania) atajulikana usiku wa leo katika fainali itakayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPLMREMBO CHUPUCHUPU KUBAKWA
Stori: Musa Mteja
Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi. Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara...
9 years ago
GPLMREMBO ATESWA UARABUNI
Stori:imelda mtema MATESO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo Sada Hussein, mkazi wa Tandale kwa Mtogole jijini Dar kupata mateso mazito baada ya kupelekwa Uarabuni nchini Oman kwa lengo la kufanya kazi za ndani, tofauti na matarajio, alijikuta akiteswa vibaya na muajiri wake. Mrembo Sada Hussein, mkazi wa Tandale kwa Mtogole anayedaiwa kuteswa uarabuni. Akizungumzia tukio hilo kwa uchungu, kaka wa msichana huyo...
9 years ago
GPLNAY ALIZWA NA MREMBO
Musa Mateja AMEPIGWA! Ndivyo vijana wa mjini wanavyosema kuakisi tukio la staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuibiwa na mrembo pochi iliyokuwa na zaidi ya shilingi laki 8, vitambulisho vyake mbalimbali kikiwemo cha kupigia kura, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Tukio hilo la kumzidi ujanja Nay lilitokea Septemba 7, mwaka huu maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo msanii huyo alikuwa...
10 years ago
GPLMREMBO AZIMISHWA USIKU
Dustan Shekidele, Morogoro Duh! Wakati magari ya serikali yanatakiwa kupaki saa 12 jioni, wiki iliyopita mrembo mmoja mkazi wa jijini Dar ambaye jina lake halikupatikana mara moja amefanyiwa kitu mbaya ndani ya gari la serikali usiku mnene baada ya kuzimishwa kwa pombe kali kisha kunusurika kubakwa. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda lilijiri mishale ya saa 6:00 usiku kwenye Baa ya Break Point iliyopo maeneo ya Msamvu...
11 years ago
GPLMREMBO AFIA GESTI ARUSHA
Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
MREMBO mmoja ambaye alihu-dumu kwenye nyumba ya kulala wageni na baa (jina tunalo) iliyopo Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Blandina Michael (33) amekutwa amekufa kwenye moja ya vyumba vya nyumba hiyo huku chanzo cha tukio hilo kikihusishwa na vitendo vya ushirikiana. Taarifa za awali zilimtuhumu mmiliki wa nyumba ya wageni moja ambaye pia anajihusisha na biashara za madini (jina tunalo)...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania