Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MREMBO AJITAPA

Imelda Mtema
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Flava, Tunda Sabasita amejitapa kumpora bwana muuza nyago mwenzie, Agness Gerald ‘Masogange’ na kusababisha wawili hao kuingia kwenye bifu zito.Sosi aliye karibu na wauza nyago hao alisema kuwa bifu walilonalo linamhusu bwana aliyetajwa kwa jina moja la Said ambaye makazi yake ni nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’. Muuza nyago kwenye video za wasanii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JB AJITAPA KUWA STRAIKA

Stori: Maria Halimoja TAMBO! Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’ amejitapa kuwa licha ya mwili wake kutoonekana wa mazoezi lakini yeye ni bonge la straika. Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’. Akistorisha na paparazi wetu, JB ambaye anatamba na filamu ya Shikamoo Mzee, alisema mpira alianza kucheza kitambo tangu alipokuwa akiichezea timu ya JKT Mgambo na Mutukula ya Mwananyamala Dar hadi sasa kwenye Klabu...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu

MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.

Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.

“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Samia ajitapa CCM kuumaliza mgogoro

Mgodi wa Kiwira uliokuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka 10 kati ya mwekezaji na Serikali, umepata mwekezaji mwingine.

 

9 years ago

Global Publishers

Le Mutuz ajitapa kutoka kimapenzi na Amanda

lemutuzzzzsssWilliam Malecela ‘Le Mutuz’

STORI: MWANDISHI WETU

NISHAI! William Malecela ‘Le Mutuz’ juzikati aliumbuka baada ya kuposti ujumbe kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, akijitapa kwamba amewahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji maarufu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’, jambo lililosababisha wachangiaji wamshukie vikali kwa maneno ya kuudhi.

AMANDA2Mwigizaji maarufu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’

Katika ujumbe wake, Le Mutuz ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa Saba wa Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrembo Rita

Jamani eee! Barua zenu zinachosha. Hamjui kwamba natakiwa kusoma Katiba hiyo ya kujipendekeza kwa makundi mbalimbali ili ipendwe badala ya kupondwa kwa kuondoa mambo ya msingi kuhusu uwajibikaji na muundo wa taifa. Ndiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Nani kuwa mrembo wa 20?

Mrembo wa 20 wa Taifa (Miss Tanzania) atajulikana usiku wa leo katika fainali itakayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

MREMBO CHUPUCHUPU KUBAKWA

Stori: Musa Mteja
Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi. Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara...

 

10 years ago

GPL

ANTI EZEKIEL NI MREMBO

Staa wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel 'Gwantwa' ameachia picha zake kupitia account yake ya Instagram akiwa katika sura ya tabasamu.…

 

11 years ago

GPL

MREMBO NUSURA ABAKWE

Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. Stori:  Issa Mnally na Richard Bukos
MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani