ARAFA: Mwanamke aliyejitosa kutokomeza selimundu
Ujasiri alionao unatosha kabisa kumuelewa ni mtu wa aina gani. Wakati wote anaonekana mwenye furaha na matumaini. Unapokutana naye kwa mara ya kwanza, si rahisi kudhani kuwa ana tatizo la kiafya linaloweza hata kumwweka kwenye sononeko la maisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Anna Mghwira mwanamke pekee aliyejitosa urais
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Anna Mghwira, mwanamke pekee aliyejitosa kuwania urais
11 years ago
Habarileo15 Dec
Watakiwa kujitokeza kupima selimundu
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kupima damu ili kufahamu kama wana ugonjwa ama vinasaba vya ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili waweze kupewa matibabu mapema.
10 years ago
Habarileo26 Sep
Muongozo wa tiba selimundu watolewa
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Tiba cha Muhimbili(MUHAS) wamezindua mwongozo wa matibabu kwa ajili ya utoaji wa huduma za ugonjwa wa selimundu utakaotumika katika hospitali zote nchini.
9 years ago
Habarileo20 Aug
Rashid mgeni rasmi bonanza la selimundu
WAZIRI wa Afya, Dk Seif Rashid anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa bonanza maalumu kwa ajili ya kuhamasisha watanzania kwa upimaji wa selimundu. Katika bonanza hilo wasanii Banana Zoro, Mwana Fa, Yvonne Cherry (Monalisa), Wema Sepetu na mwanamitindo maarufu aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi watapamba.
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Grace: msomi aliyejitosa kuwapa wahitimu maarifa, mbinu za ajira
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI
11 years ago
GPLMWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR