Arfi awageuka wapinzani
NA RASHID ZAHOR, DODOMA
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (CHADEMA), juzi aliishangaza kambi ya upinzani bungeni baada ya kupiga kura ya kuunga mkono Bajeti ya Serikali, kwa mwaka wa fedha 2014/ 2015.
Arfi, ambaye aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alikuwa mmoja wa wabunge wanne wa upinzani waliopiga kura ya kuunga mkono bajeti hiyo na kushangiliwa kwa nguvu na wabunge wa CCM.
Wabunge wengine wa upinzani waliopiga kura ya kupitisha bajeti hiyo ni John Cheyo (Bariadi...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Mwingine awageuka wanaodai posho zaidi Bunge la Katiba
11 years ago
Habarileo08 Aug
Arfi atinga bungeni
WAKATI Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema kuwa anaamini idadi ya wajumbe wa bunge hilo wanaorejea bungeni baada ya kususa vikao itazidi kuongezeka, Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi (Chadema) ametinga bungeni.
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Arfi aitishia ‘nyau’ Chadema
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini Dodoma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Kashato mjini hapa jana, Arfi, aliyekiwakilisha chama hicho kwa miaka 10 mfululizo, aliwaambia wananchi kuwa jimbo hilo litakuwa wazi wakati wowote wiki ijayo.
“Kama Chadema wana ubavu, waje walikomboe jimbo...
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Arfi: Lissu aache kukurupuka
11 years ago
Habarileo24 Feb
Baada ya Zitto, Arfi achokozwa
MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema umeendelea hatua kwa hatua kwa makada wa chama hicho wanaopinga uongozi wa Mwenyekiti, Freeman Mbowe, kuadhibiwa mmoja baada ya mwingine ambapo sasa imefika zamu ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Said Arfi.
10 years ago
Habarileo21 Jul
Arfi wa Chadema aibukia CCM
MBUNGE wa jimbo la Mpanda Mjini kwa miongo miwili, Said Amour Alfi (Chadema) amejiunga rasmi na CCM. Amekuwa miongoni mwa makada 23 wa chama hicho, waliochukua na kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani
![Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Said-Arfi.jpg)
Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi
Na Elizabeth Hombo, Dodoma
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa mahakama juu ya uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya mwandishi wa habari, Said Kubenea chini ya wakili, Peter Kibatala kufungua kesi mahakamani kutaka Bunge la Katiba lisitishwe.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Mpendazoe ataka kumrithi Arfi Chadema
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
CHADEMA kuwatosa Shibuda, Arfi, Leticia
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawafukuza wabunge wake, John Shibuda (Maswa Magharibi), Said Arfi (Mpanda Mjini) na Leticia Nyerere (Viti Maalum) baada ya kujiridhisha kwamba wameshiriki vikao...