Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Zitto, Arfi achokozwa

 Said ArfiMGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema umeendelea hatua kwa hatua kwa makada wa chama hicho wanaopinga uongozi wa Mwenyekiti, Freeman Mbowe, kuadhibiwa mmoja baada ya mwingine ambapo sasa imefika zamu ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Said Arfi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Baada ya kufukuzwa, Zitto aigawa mitandao ya kijamii

Mitandao ya kijamii imeanza kuchukua nafasi na hata kuwa sehemu ya maisha ya kawaida, watumiaji wake hupata taarifa mbalimbali na pia nafasi ya kuanzisha mijadala motomoto.

 

11 years ago

GPL

KUTOKA MAHAKAMA KUU BAADA YA HUKUMU YA PINGAMIZI LA ZITTO KUAIRISHWA

Baadhi ya wanachama wa Chadema wakitoa maoni yao baada ya hukumu ya pingamizi la Zitto Kabwe kuairishwa katika Mahakama Kuu jijini Dar mpaka kesho saa nane mchana. (Video na Jelard Lucas / GPL)

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

MARA BAADA YA MUHONGO KUJIUZULU NA JK KUTEUA WAPYA, ZITTO ATOA YA MAYONI!

Hiki ndicho alichokiandika Mhe. Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Face Book mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter muhongo kutangaza kujiuzulu mapema leo. Na hiki ndicho alichokiandika mara baada ya uteuzi wa Mawaziri na manaibu Mawaziri…

 

11 years ago

GPL

TUNDU LISSU NA PETER KIBATARA WAKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA HUKUMU YA ZITTO

Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu akiwa na Mwanasheria wa chama hicho, Peter Kibatara wakiongea na wanahabari baada ya hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe jana Januari 7, 2014.

 

10 years ago

Vijimambo

Uliona alichoandika Naibu waziri wa fedha mh.Mwigulu Nchemba baada ya kupokea taarifa ya kufutwa uanachama Zitto Z.Kabwe

kulia ni Mb.Mwigulu Nchemba,katikati ni Mbunge wa Jimbo la Manyovu Kigoma Obama na anaefuata ni Mb.Zitto Z.KabweImenisikitisha sana,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa,alichokitumikia kwa Jasho na mali,alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19.Zitto amekuwa/anaendelea kuwachachu ya mabadiliko kwa Vitendo kwa Taifa letu.Uwezo wa kisiasa wa Kabwe adhabu yake sio kumfukuza,Demokrasia ni lazima itumike.
Nakusihi kijana...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.

Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.


 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Arfi awageuka wapinzani


NA RASHID ZAHOR, DODOMA
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (CHADEMA), juzi aliishangaza kambi ya upinzani bungeni baada ya kupiga kura ya kuunga mkono Bajeti ya Serikali, kwa mwaka wa fedha 2014/ 2015.
Arfi, ambaye aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, alikuwa mmoja wa wabunge wanne wa upinzani waliopiga kura ya kuunga mkono bajeti hiyo na kushangiliwa kwa nguvu na wabunge wa CCM.
Wabunge wengine wa upinzani waliopiga kura ya kupitisha bajeti hiyo ni John Cheyo (Bariadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani