ARUSHA FC YAWATOA JASHO JKT OLJORO NYERERE CUP

TIMU ya Maafande wa JKT Oljoro ya jijini Arusha inayoshiriki ligi daraja la kwanza imeshindwa kuonyesha makali yake mbele ya wadogo zao timu ya AFC Arusha inayoshiriki ligi daraja la pili baada ya kutoka suluhu ya bao 1-1 katika ufunguzi wa michuano ya Nyerere Cup 2015.
Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, uliwashuhudia maafande hao wa Oljoro wakianza kucheka na nyavu za AFC baada ya kujipatitia bao lake kupitia kwa mchezaji Swalehe Idd alilofunga kwa njia ya Penalti...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Sep
OLJORO KUCHUANA NA ARUSHA FC, UFUNGUZI WA LIGI YA NYERERE CUP SEPTEMBA 10
Tiyari timu ya Arusha fc na Jkt Oljoro zimethibitisha kushiriki michuano hiyo huku kila mmoja akijitamba kuonyesha ubabe dhidi ya mwenzake na pia wakitumia mechi hiyo kutambulisha wachezaji wao kwa wapenzi wa Soka wa jiji Arusha.
Mechi hiyo ya ufunguzi...
9 years ago
StarTV09 Nov
JKT Oljoro yatinga kileleni.
Maafande wa JKT Oljoro wametinga kileleni mwa kundi C baada ya kuwachezesha kwata maafande wenzao wa Polisi Tabora kwa bao 1-0, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Haikuwa rahisi kwa wafunga buti hao wa Oljoro kupata bao hilo mapema kwani iliwabidi wasubiri hadi kipindi cha kwanza kimalizike.
Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu kuanza kwa kasi baada ya makocha wa timu zote mbili kufanya mabadiliko ya wachezaji , mabadiliko hayo yalizaa matunda kwa...
11 years ago
TheCitizen01 Feb
Simba SC target JKT Oljoro scalp
10 years ago
StarTV04 Nov
JKT Oljoro wazidi kung’ara.
Wafunga buti wa JKT Oljoro kwa mara nyingine wametoka na ushindi baada ya kuwachezesha gwaride wachimba madini wa Geita gold sports mabao 2- 1 mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Jijini Arusha.
Maafande hao wa JKT Oljoro wameutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani mara baada ya kuinyuka timu ya Geita gold sports magoli 2 kwa 1 mchezo ambao ulianza kwa kasi kwa kila timu kuonekana kuupania mchezo huo uliotimua vumbi katika viunga vya Sheikh Amri Abeid...
10 years ago
TheCitizen14 Nov
Relief as JKT Oljoro pip Rhino
10 years ago
Michuzi17 Sep
PANONE FC KUFUNGUA DIMBA NA JKT OLJORO

11 years ago
Tanzania Daima08 May
JKT Oljoro yapania daraja la kwanza
TIMU ya JKT Oljoro imepania kukabili ushindani wa ligi Daraja la Kwanza kwa kuanza maandalizi mapema ikiwemo kuingia kambini na kujifua kwa mazoezi magumu ili waweze kurejea Ligi Kuu ya...
11 years ago
GPLSIMBA SC YAIANGUSHIA KICHAPO CHA BAO 4-0 JKT OLJORO
10 years ago
TheCitizen21 Jan
Stand United, Oljoro JKT players incur TFF wrath